Thierry Henry leaves Arsenal after giving up under-18 coaching job

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Thiery Henry ameondoka Arsenal baada ya kuambiwa achague moja kati ya kufundisha vijana wa U-18 au kazi Sky Sports.
========================

Thierry Henry has left Arsenal after giving up the opportunity to coach the club's under-18 side. Henry, 38, was offered the role by Gunners manager Arsene Wenger, who told him he could not combine it with his existing role as a television pundit.

The club's all-time leading scorer, who worked with Arsenal youth players as part of his Uefa A Licence course, was not prepared to give up his media work. Former Gunners captain Tony Adams, 49, will take the role with the under-18s.

His former central-defensive partner Steve Bould will remain as Wenger's assistant manager while another ex-player, Freddie Ljungberg, will work with the under-16s.

Henry must now find a team to coach in order to complete his Pro Licence.

The former France forward is employed as a television pundit by Sky Sports, and worked for BBC Sport during Euro 2016.

Source: Sky Sport
 
hata ulaya kuna majungu halo kaaa yaani mzee wenger kuambiwa ukweli hataki kwamba mzee ondoka kwamba mzee nunua wachezaji wenye stamina hutaki pole chogo njoo mkosoe conte,jose,pep,clop huyo babu amekaa sana china kwa hiyo ameathirika
 
Inawezekana hii ikawa sababu ya kutimuliwa , Wenger ana roho mbaya sana !
 
Bora aende...

Hata mimi nina mpango wa kuhama hili timu, timu gani inakupa maumiv kila msimu.. Toka nmeanza kushabikia arsenal 99/00 mpaka leo hii maumiv ni mengi kuliko furaha...

Bora nihamie kwa mchepuko wangu atletico de madrid, kwa anko el cholo
 
Inawezekana hii ikawa sababu ya kutimuliwa , Wenger ana roho mbaya sana !

AW ana roho mbaya ila alimfanya uyo Henry ajulikane na wewe,kaambiwa achague kati ya kufundisha under 18 au aendelee na kazi yake sky sport na Henry ka-opt kwenda sky sport hapo AW roho yake mbaya ni ipi duh..!
 
Bora aende...

Hata mimi nina mpango wa kuhama hili timu, timu gani inakupa maumiv kila msimu.. Toka nmeanza kushabikia arsenal 99/00 mpaka leo hii maumiv ni mengi kuliko furaha...

Bora nihamie kwa mchepuko wangu atletico de madrid, kwa anko el cholo
makaveli mjomba cholo ni hatari hapa caitan hapa griezmann hapa carasso hapa saul balaaa tupu
 
makaveli mjomba cholo ni hatari hapa caitan hapa griezmann hapa carasso hapa saul balaaa tupu
Namkubali sana huyu mtu, akili yake mara nying huwa haiend mbali na mawazo yangu, so huwa nainjoy kuangalia game zake...

Moyoni unasema toa agusto tia carrasco, muda si mref nae anafanya mambo hayo, unaona kabisa hapa unamtizama mtu anaejielewa na kutambua soka
Sii huku kwa wenger unaona pengo ni giroud lakin wapi, unaona sub nzur ye anakuharibu, anatoa sanchrz anatia wallcot, wenge ni jipu hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom