oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 842
- 2,243
Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
Hahahaha! Sasa goli likifungwa mtu anaanza kumwaga maji yana mate basi ni shida tuKwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao.
Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine