There's more to web development than PHP


programming is more than Syntax, lakini si kweli kuwa kuelewa Language zaidi ya moja ni kosa, Hakuna computer Scientist, Programmer etc, ambaye anajua Language moja, Mfano Apple wana Objective-C, Swift etc, Google wana Golang, Python, Java, kotlin, Dart, Microsoft wana C#, TypeScript VB etc na zote wanazitumia kwenye Project zao

kumbuka kila lugha ni nzuri kwenye kazi flani, alafu si kweli unaweza kumaster lugha moja completely hata Linus Tovald mungu wa C wala Assembly
 

Ndo shida ya kuwa programmer au cs sometimes unakuwa theoretical sana mpaka unasahau practicality.Ckia bro nakushauri anza kusoma software engineering ndo utaona kwanini kitu kinachoitwa program logic ni muhimu sana.Mimi sijawahi kusoma Golang lakini ukiniletea source code ntapata hints kwasababu ya program logic.Kinachobakia ni kuchukua dcumentation na kufanya reading.Ukiwa mtu wa cs unapata illusion kuwa unaweza soma lugha zote hzo lakini ukishaanza kusoma software engineering unaona kabisa kuwa kusoma lugha zote hzo kiundani ni sawa sawa na kujifunza lugha zote duniani ili umsalimie mjomba kwa njia tofauti
 

so you can understand the Assembly bila kujua how hardware works??
 
so you can understand the Assembly bila kujua how hardware works??
haha bro the only knowledge ya hardware unayohitaji kujua katika assembly ni architecture ya hyo processor from a programmers point of view vitu kama stored program concept ,instruction set architecture, memory adress modes .Huitaji kuenda ndani ya hardware kabisa mpaka kwenye abstraction level ya flip flop circuits na logic gates.Hzo zilikuwa enzi hzo za kina dennis Ritchie ambao walikuwa wana program assembly kwa kutumia real address mode ambayo ilikuwa inampa mtu uwezo wa ku program kitu ambacho kina communicate directly na hardware.Now days bro ni protected mode na kuna protection rings hugusi hardware bila kutumia system calls.

mfano main PROC
push Eip
push eax
push esp
mov ebp,esp
...
INVOKE IgnorantProgrammer
......
RET
main endp
end

the only knowledge utayohitaji kuelewa hapo na ISA na architecture (registers, opcodes na vitu vengine)from a programmers point of view kujua kuwa hzo code hapo juu ni maandaliz ya ku execute function IgnorantProgrammer kwenye harware stack ya intel based processors.Hiutaji kuwa hardware mpaka kwenye level ya logic gates.
Unless maybe unatengeneza critical software kama za kwneye roovers za NASA au Operating system kusoma harwdware kiundani ni a wastage of your time sababu hautakuja tumia hzo knowledge za transistor as a application programmer
 




All PDF android app ni app ya kufungua faili za PDF na zana kibao za PDF naendelea kutengeneza, Tafadhali toa maoni kipi kiongezwe
 

Mkaka unaonekana uko nondo!!!
Miaka 30 naweza kujifunza kuwa gopd sofware developer ama it is too late for my age!!!
 
Nimeona hiyo display picture inafanana na logo ya Phoenix ndio maana nikauliza. Elixir is a very beautiful language

Eti kaka, na miaka yangu 30 naweza komaa jifunza kuwa good software developer ama nishachelewa sana. Nina hamu, ninataman
 

Kaka Graph umeona majibu mujarabu hata!!! Namie nataka kuwa programmer wa kufanya mtu. Niwe maarufu, niwe napata tenda, watu wawe wananisifia "mdada anajua coding huyo balaa"
 
Hakuna na programmer na njaa we must solve this first
 

Kaka stormryder umepigwa za USO na huyu kaka. Amepangua hoja zako mpaka umekimbia ulingo.

We ngoja tu, namie after two years nitakua software developer wa kuogopwa.

Nataka nianze na web development, then nakuja kwa Java, C/C++
 
Mkaka unaonekana uko nondo!!!
Miaka 30 naweza kujifunza kuwa gopd sofware developer ama it is too late for my age!!!

Miaka 30 sio late kabisa kua developer.
Pata introduction into programming, unaweza anza na course ya CS50 ya harvard, ni video course inakupa introduction moja nzuri sana. Baada ya hapo unachagua unataka kuconcentrate kwenye nini, mfano kama ni mobile development android au ios, then unachagua language moja unaanza kusoma, mwanzo mgumu ila trust me in a year unaweza tengeneza software from scratch.
Ugumu ni kujisukuma kuhakikisha unavuka stage flani, mwanzoni unaweza soma kitu mara mbili usielewe, hadi urudierudie ndiyo kinaanza kumake sense
 
GREATY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…