There's more to web development than PHP


point.. tena na sana
 
kuna kitu inaitwa thl wanafunzi wanalipa pesa bure.. ila ikiwepo open projet kama wikipedia . na uhakika biashara ya THL itakufa ndani ya wiki
 
Nimekupata mkuu, je mpaka sasa ushatengeneza software gani mhandisi??
 

Hilo pia ni tatizo Kubwa sana kwa nchi yetu na nchi nyingi za africa!
 

Mkuu kwenye upande wa Web designing, PHP ni kiboko yao, naitumia kwa miaka kadhaa sasa, ni rahisi kuielewa, inaload faster, inacommunity base support ya kutosha world wide (zaidi ya 79% ya websites zote duniani zinatunia PHP), na zaid ya yote ni free tofauti na web pogramming nyngne kama ASP ambayo inamlazimu mtumiaji kulipa pesa kibao kupata features ambazo huenda angeweza kuzipata kwenye php na zaidi.

Hapo kwenye suala la kupunguza uvivu sina uhakika umemaanisha nini, kwangu mimi haijalishi ni lang gani umeisoma vizuri mwisho wa siku most of them works alike, haina maana kusoma Programming languages zaidi ya kumi mwisho wa siku zote ukazigusa nusunusu, kwani hii field inahitaji time yakutosha kuupdate your skills, kufanya testing n.k.

Don't let your tools define you.
 

Mkuu kama you believe you are very efficient in Php its a good thing, na ni kweli many websites are written in Php, na sijaongelea Microsoft stack kama ASP maana ukweli sipendi stack ya Microsoft, ila compared to a language like Go, Php is so old school. Ofcoz kama umejilock kutengeneza normal websites siwezi kukulaumu, Php is more than enough kuhandle such tasks. Ila kama ni complex software Php is a bad bet, hata Facebook waliregret kutumia Php maana iliwasumbua sana kwenye kuscale hadi wakatengeneza a lot of tools on top of it to try to scale it, ingekua decision ya Mark leo hii anaanza Facebook I doubt angeianzia in Php.

Na sijasema pia uguse languages 10, ila uwe na angalau 3 that you can go to zote zikiwa na strengths zake tofauti, ili anytime una task flani you get to choose the right tools for the job. Ofcoz huwezi choose C++ kutengenezea website it will be painful, ila kama unahitaji image manipulation I don't see why not involve C++ hata kama ni kwa kufanya bindings to a different language. Most languages work alike but they don't perform alike, kila language ina strength zake na weakesses, mastering one language has its limits, inakuconfine kua mtu asiyebadilika, why are we even making new languages kama a single language could do everything well? Alafu picking up a new language sio kitu kigumu kama watu mnavyochukulia, kama mtu anajua programming its very easy to pickup any other language.

You'll never know the importance of having other tools in your stack if you have never taken the time to learn the tools.
 
nice, unanishauri nisome language gan kati java script au php in web designing? tayari moja nishasoma.
 
Hakuna Language inayoisha.. ila the more you work with different technology unaexplore zaidi.. kumwambia mtu ajifunze php hadi au C hadi mwisho ndio ajifunze another language siiungi mkoni ila njia nzuri ya kujifunza ni project based.
 
kuna advantage kusoma language zaidi ya moja cause unajifunza the reason behind it na different paradgims pia inakuwa rahisi kuchagua proper platform mfano C/C++ zinafanana sana na Java so ni rahisi mtu wa C/C++ kuswitch kwenda Java na hata hiyo PHP, pia mtu ukimkuta anatumia Python basi bila shaka ana broad knowledge kuhusu programming..
pia lugha zaidi ya moja inaimply kwamba huyu mtu ni mtu anayependa kujivunza anafahamu teknolojia tofauti na ana uwezo wa kuchangia vizuri katika project yako
 

Hapo ndio kwenye point muhimu sana kwenye uzi wako.

Issue sio php ila ni hao wanaotumia hiyo lugha ndio vilaza na ni wavivu, wengi ni copy and paste coders.

Pia umaarufu wake kwa hapa kwetu unatokana na sababu kuu ya kuwa free na easy to learn least to say ni easy and relatively cheap to deploy online.
 
Mkuu nimekupata kwa uzuri kabisa najiona empty hata kuchangia.

kazi nzuri
 
Mleta mada uko sahihi sana. Kuna vitu vingi kwenye languages na platforms mbalimbali.... Muhimu kujua tools gani zitumike kwenye changamoto gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Personally i don't hate PHP, i hate newbs who create monsters using PHP.
 


Huitaji kusoma lugha zote unachohitaji Ni ku master lugha kwa ajili ya kazi. Lugha zengine utazijua tu ukishakuwa na uelewa na kitu kinaitwa program logic.Ukisha master program logic hata kma lugha iwe ngeni vipi ukiona tu source code unapata hint kuwa hiyo Ni constructor na hi ni for loop.The rest itakuwa Ni kukaa na reference tu ukiichunguza source code. Alfu bro acha uongo Nani kasema kuwa ukijua python una broad knowledge ya programming ?? Programming Ni kitu deep kuliko syntax ya lugha.Mi cjui lecture gani kakuambia kuwa ukijua lugha nyingi ndo unaweza changia kwenye project nyingi maana watu wanajua Java lakini waleteee project ya computer vision hapo kama hawata kimbia kurudi kwenye web development
All in all bro their is more to programming than hzo syntax za lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…