There is no template for relationship

Au unaogopa pua yako kubwa?? Nakumbuka mama yako alivyomwambia baba yako according to your story kwamba aangalie mpua wake na wako hahaaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila jamaa ana kipaji Sana Cha kuandika sijapata kuona[emoji119]
Japo story Yake sikuimaliza yote..mimi mvivu Sana kusoma story.
 
Nimeelewa sana part ya mwisho apo

"KUTESEKA AU KUISHI KWA TABU LEO HAIMAANISHI HUKO MBELENI NDIO MAMBO YATAKAA SAWA THEN UTAISHI KWA RAHA. Usipokuwa makini unaweza ishi kwa msoto hadi ile siku unaaga. Uvumilivu unamipaka, ila umakini ni nguzo"

Thank you bro...
 
Jambo zuri. Hakikisha huyo mrembo anakuwa in a line.
 
Au unaogopa pua yako kubwa?? Nakumbuka mama yako alivyomwambia baba yako according to your story kwamba aangalie mpua wake na wako hahaaaaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] am not sure. Ila bado hajajitokeza tu mrembo wa kunipenda, vinginevyo ningeshaweka mtoto wa mtu ndani, niitwe mume.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila jamaa ana kipaji Sana Cha kuandika sijapata kuona[emoji119]
Japo story Yake sikuimaliza yote..mimi mvivu Sana kusoma story.
Punguza uvivu. Now ushapata mentor, inabidi akubadilishe hii tabia ya uvivu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jamani sikuwa hata nimeona hii mention yako mpendwa. Nitarudi.....
 
Thank you too broh [emoji109][emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…