Ukiondoa Sex /Mgegedo/kulana/kutiana/kugongana/kutombaner.....hakuna kitu kinachoitwa mapenzi sijui mahusiano katika dunia hii!!.
Mbaya zaidi siku hizi watu wanaoa na kuolewa kwa lengo la kutombaner tu na siyo kuanzisha familia na kujenga kizazi bora kijacho.
Ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu maana mkishagegedana mara kadhaa baada ya muda kila mmoja anaanza kuona mwenzake hana jipya ndo hapo sasa kuchepuka kunapoanzia.
Mind in you that binadamu tumeumbwa na Hulka ya kukinai na kuviona tulivyonavyo havina maana Bali tusivyonavyo.