Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
- Thread starter
- #41
Teh teh kama una hulka ya fujo hata ukija ku-commit utaziendeleza lol..Labda zitapungua tu..Ila kuna kiumbe humu aliwahi kusema cheating ni baada ya ndoa ila kabla ya hapo kila mtu ana haki ya kujiburudisha anavyotaka coz hayuko committed lol
No bro. Fujo zangu sio hata za kivile, ni za ujana tu. Siku akitokea 'atakayenishika' ndio mwisho wake.
Hahaha. Hata ya maneno pia ni commitment. Sio lazima kuwe na sahihi wala mashahidi.