kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,337 Reaction score 7,755 Sep 28, 2017 #1 Kumnyamazia mtu anayechukua michango ya matibabu alafu haina column ya matumizi ni Usaliti. Na kunyamaza kwa hili vile vile ni usaliti.Povu ruksa.
Kumnyamazia mtu anayechukua michango ya matibabu alafu haina column ya matumizi ni Usaliti. Na kunyamaza kwa hili vile vile ni usaliti.Povu ruksa.
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Sep 28, 2017 #2 sawa atakujibu kupitia..........
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,263 Sep 28, 2017 #3 kedekede said: Kumnyamazia mtu anayechukua michango ya matibabu alafu haina column ya matumizi ni Usaliti. Na kunyamaza kwa hili vile vile ni usaliti.Povu ruksa. Click to expand... Hasira za kushindwa kumuua Lissu mmeziamishia kwenye michango tunayotoa.
kedekede said: Kumnyamazia mtu anayechukua michango ya matibabu alafu haina column ya matumizi ni Usaliti. Na kunyamaza kwa hili vile vile ni usaliti.Povu ruksa. Click to expand... Hasira za kushindwa kumuua Lissu mmeziamishia kwenye michango tunayotoa.
kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,337 Reaction score 7,755 Sep 28, 2017 Thread starter #4 Daudi Mchambuzi said: Hasira za kushindwa kumuua Lissu mmeziamishia kwenye michango tunayotoa. Click to expand... Msaliti wa pili huyo!
Daudi Mchambuzi said: Hasira za kushindwa kumuua Lissu mmeziamishia kwenye michango tunayotoa. Click to expand... Msaliti wa pili huyo!
Gwallo JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 3,707 Reaction score 5,317 Sep 28, 2017 #5 Bado kuna mikojo mingi inatakiwa kupimwa huwezi kuwa mzembe wa fikra kiasi hiki..........
kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,337 Reaction score 7,755 Sep 28, 2017 Thread starter #6 Gwallo said: Bado kuna mikojo mingi inatakiwa kupimwa huwezi kuwa mzembe wa fikra kiasi hiki.......... Click to expand... msaliti wa tatu
Gwallo said: Bado kuna mikojo mingi inatakiwa kupimwa huwezi kuwa mzembe wa fikra kiasi hiki.......... Click to expand... msaliti wa tatu
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,384 Sep 28, 2017 #7 hili hawataiki kulisikia hata lile la kumsaliti slaa kisha kubadili gia angani.
kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,337 Reaction score 7,755 Sep 28, 2017 Thread starter #8 Me too said: hili hawataiki kulisikia hata lile la kumsaliti slaa kisha kubadili gia angani. Click to expand... Watasikia tu
Me too said: hili hawataiki kulisikia hata lile la kumsaliti slaa kisha kubadili gia angani. Click to expand... Watasikia tu
mali ya mungu Senior Member Joined Aug 25, 2017 Posts 109 Reaction score 108 Sep 28, 2017 #9 [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
mwananyaso JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,995 Reaction score 3,402 Sep 28, 2017 #10 kedekede said: Kumnyamazia mtu anayechukua michango ya matibabu alafu haina column ya matumizi ni Usaliti. Na kunyamaza kwa hili vile vile ni usaliti.Povu ruksa. Click to expand... Umepiga Pentagon, ngoja wavulumuke
kedekede said: Kumnyamazia mtu anayechukua michango ya matibabu alafu haina column ya matumizi ni Usaliti. Na kunyamaza kwa hili vile vile ni usaliti.Povu ruksa. Click to expand... Umepiga Pentagon, ngoja wavulumuke
kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,337 Reaction score 7,755 Sep 29, 2017 Thread starter #11 mwananyaso said: Umepiga Pentagon, ngoja wavulumuke Click to expand... Waache tu mkuu nawasubiri waje na hoja
mwananyaso said: Umepiga Pentagon, ngoja wavulumuke Click to expand... Waache tu mkuu nawasubiri waje na hoja