Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
hii ni theory ya kibazazi ,mimi naikubali but kupenda huko sijakuelewa naomba utofautishe kati ya upendo wa kingono(sexual attractiveness) na upendo wa mama/baba na mwanae, am 100% sure they are quite different
Simama upande wako kisha jenga hoja, wewe unaonekana ni supporter wa hiyo theory na indirectly umepinga hoja ya wakosoaji wa hiyo theory.
Diminishing return hii theory iko kwenye Uchumi kuna ukweli mkubwa ndani yake.hii ni theory ya kibazazi ,mimi naikubali but kupenda huko sijakuelewa naomba utofautishe kati ya upendo wa kingono(sexual attractiveness) na upendo wa mama/baba na mwanae, am 100% sure they are quite different
Diminishing return hii theory iko kwenye Uchumi kuna ukweli mkubwa ndani yake.
Binadamu hwezi kufananisha na vitu...go back to school dude!!!
nimekupa challenge as long as theory(means sio law) ina critiques(strength) na weakness zake ndo maana bado ni theory
swali.
umeongelea kuhusu items na love life, likini una conclude kwenye love life only, why?
Binadamu hwezi kufananisha na vitu...go back to school dude!!!
kunipa challenge mimi unapoteza muda wako bure mkuu, unatakiwa ku-challenge theory husika. Kwa kawaida huwa hatuiishi ku-challenge unatoa mapendekezo yako binafsi
then you are not mature for this
i love the topic, unfortunately i still dont know where i stand