TheMason: Member Anayekuja kwa Kasi JF

Asije kuwa BASHITE anaingia kwa JINA la The MASON...Ila poa tunasubiri mengi kutoka kwake...kwani mtu anazaliwa...anakua na kuzeeka.

Yawezekana MEMBERS wakongwe kama MSHANA Jr, The bold , Faiza FOX na wengine wengi wameamza kuchoka...

Tunahitaji nguvu mpya kwani watakuja na maarifa mapya....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom