Ukiwa umezaliwa, kukulia, na kuishi katika mazingira na malezi ya kinafiki utaendelea kuwa mnafiki hata kama ungesoma na kumaliza shahada zote duniani na ndivyo anavyojidhihirisha huyu Profesa.
Pamoja na kusifia "uhusiano mzuri" wa kidini huko Zanzibar kwa muda mrefu, kwa sababu anazozijua yeye tena kwa makusudi mazima, hajatueleza "ni kwa nini makanisa yalichomwa" na sio misikiti au vyote tena nyakati hizi. Hebu aache unafiki na udini wake.
Otherwise, huyu naye JAMBAZI la Uamsho tu - By Nape Nnauye, Dar es Salaam, June 09, 2012.