msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Anaanzaje kukosekana mwamba wa siasa za Tanzania na Afrika kiujumla Mh. Edward Ngoyai Lowassa?
Hiyo list ni feki.
1. Vladimir Putin
2. Angela Merkel
3. Barack Obama
4. Pope Francis
5. Xi Jinping
6. Bill Gates
7. Janet Yellen
8. David Cameron
9. Narendra Modi
10. Larry Page
Source: Forbes
Hahahaha" katika ubora wako :thumbup: "daddy"
Vipi jirani,kovu limeshapona?Mie mpaka 2020 Insha'Allah,ni mwendo wa m4c,hakuna kurudi nyuma.
Anaanzaje kukosekana mwamba wa siasa za Tanzania na Afrika kiujumla Mh. Edward Ngoyai Lowassa?
Hiyo list ni feki.
Wrong number..jaribuni tena 2025
Amna aliyetoka Africa" we r not exist to thm fools whites ppl
naona watu hamjaelewa maana ya iyo list.......
hapo wanaongelea nguvu ya ushawishi alionayo mtu/kiongozi!!!
Anaanzaje kukosekana mwamba wa siasa za Tanzania na Afrika kiujumla Mh. Edward Ngoyai Lowassa?
Hiyo list ni feki.