The World is a flat plane and not a globe

mazojms, Dunia ni center of universe and in all circular points kuna massive lands existing boundaries by boundaries thats why ni only nearly 1% percent ni discovery ya dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mazojms,
- Hamna kitu Gravity, I don't know ndio mnaita Gravitational Force. Just an Illusion

- Probably inaweza ika-sound lakini nachofahamu ni Foundation (Msingi) Uliopo.

- On other side kuna Mataifa kama ilivyo Dunia ndio same utakutana Nibiru, Vesta, Pulsar, Sedna, Ogle Tr, Mars etc. Baadhi ya hayo hayajawa na wakazi.

- Kusema "Mathematics Calculations" tayari inaonesha ni masuala yepi yaliokuathiri hadi kushindwa kutanabaisha haya.

Sergio
 
Hii mimi huwa najiuliza sana na kutafuta kwenye mitandao lakini sababu zao sikuziona ni zenye mantiki. Kwa sababu ipi wanazuia watu kwenda Antarctica?
 
Gravity wanaielezea hivi
Kwakuwa upo Kwenye flat disc inaaccelerate upwards with an acceleration of 9.8m/s2. Hii inatengeneza illusion ya kuwa unavutwa chini Kumbe earth ndo inaenda juu. mazojms, Although kusema ukweli HAKUNA tofauti ya muokota makopo Milembe na flat earther

Flat earthers wengi hata hawaamini flat earth lakini ni clout chasers tu
 
mazojms, Mkuu unataka proof ok jisomee hizi points kwanza ukimaliza nakupa kitabu cha ushahidi ukimaliza nakupa hidden secrets za nje ya mipaka ya dunia yetu halafu wanadamu tumeumbwa tuweze kusurvive kwenye level scale,maji hata uyaweke wapi yatatafuta level meaning yawe straight in horizon,kingine meli zinatumia circumnavigation yani kuzunguka kwa kutumia duara sio mpira ,do you know why ndege zinaitwa air"PLANES"?

do you wanasayansi wote duniani wanatumia straightgeometry kujenga chochote na sio curvature ni kwasababu wanasababu za kukudanganya na mi nazielewa kwahiyo we fatilia taratibu dont believe in systems hiyo ni political and contrOl dogma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Earth kuaccelerate kwenda juu sio proof ya flat earthers hiyo assumption ilitolewa na shirika linajiita FES yani flat earth society ili kuonesha kuwa flat earthers wanatoa sababu za kijinga sisi tunaamini katika density na tuko intact na ardhi ya dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unataka kitabu ninacho internet wamefuta documents nyingi za flat earth na sasahivi ukituma video kuhusu flat earth unapigwa ban youtube hawataki kabisa watu wajue ukweli wa ulimwengu wao wanawalisha miziki,migames na movies kila siku ndani ya ubongo.
Hii mimi huwa najiuliza sana na kutafuta kwenye mitandao lakini sababu zao sikuziona ni zenye mantiki. Kwa sababu ipi wanazuia watu kwenda Antarctica?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna video moja ilionyesha hili ilichukuliwa na mabaharia sijui ni wa nchi gani. Walionyesha vilevile mwezi ukionekana mpevu na mkubwa na upande mwengine kwa mbali kabisa nalo Jua likionekana ile umefika kwenye bahari yenyewe huoni chochote si mbele wala nyuma si kulia wala kushoto zaidi ya maji tu.

Upande wa Jua wingu likiwa na mwanga huku upande wa mwezi ukiwa na mwanga kidogo (giza kiasi). Jua na Mwezi vilionekana sawa na clip uliyoiweka inayoonyesha Jua na mwezi zikiizunguka Dunia. Nilishangaa sana!
 
Naomba unitumie Mkuu.
 
Asante mkuu ,watu wamekuwa watumwa,mimi nilisoma science mpaka chuo ila namshukuru Mungu ufahamu wangu ulipenda sana kuhoji because am SKEPTICAL ikanifungua mengi sana sasa hivi sina hata wasiwasi kama nilivyokuwa kwenye ulimwengu wa dunia inayozunguka jua zaidi ya speed ya mwanga.kumbe ni michezo ya nasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah...mnajua mechanism za planet formation?

Sifa za planets mnzijua?
Ukijua basics kidogo to za astrophysics utaona kuwa flat earthers haina tofauti na wale wanaoamini kuna dunia chini ya bahari atlanters
 
April fool watu wameianza mapema sana mwaka huu tofauti na miaka mingine
 
Kaka nakubaliana na wewe hayo yote ila kwenye umbo la dunia na kinzana na wewe.
 
- Mna mathematical calulations zozote zinazo sapoti concept yenu?
Kwanza kwanini unaweka "Mathematical Calculations" kama kigezo,kuna hesabu za kisayansi ambazo zina uhalisia nje ya makaratasi ?
 
Hahah...mnajua mechanism za planet formation??
Sifa za planets mnzijua?
Ukijua basics kidogo to za astrophysics utaona kuwa flat earthers haina tofauti na wale wanaoamini kuna dunia chini ya bahari atlanters
Mkuu sasahivi tanzania tupo upside down halafu dunia inazunguka kwa kasi sana yani astrophysics imetusaidia mno


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…