The World In Cartoons/Comics

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
6,083
Reaction score
6,234
Uzi wa cartoons/comics, caricature & quotes.
Unaweza pia tupia hapa vibonzo vyako.


TIME is digging our graves!

The most valuable thing you own is your TIME.
All of us have a limited unknown amount of time to live on this planet.
The secret of life is to realize that time is limited and the greatest use of that time is to use it for God's glory.
 

Kibonzo hiki kinawakilisha matumizi ya facebook kwa mamia ya mamilioni ya watu ambao wanaamini yale wanayo post kwenye facebook ni mambo yao binafsi (faragha) lakini kumbe hawajui kuwa wanasambaza mambo yao kwa walimwengu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…