The Workers Compesation Act CAP 263 -2002: Please help | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Workers Compesation Act CAP 263 -2002: Please help

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by leamashina, Jul 16, 2012.

 1. l

  leamashina Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanasheria naomba mnisaidie kutafsiri hii sheria. Nimeumia kazini na mkono wangu wa kulia umelemaa siwezi kufanya nao kazi. Nimekwenda labour kwa ajili ya kupata compensation nikapewa act kuisoma kwanza. Kuna kipengele kinasema hivi:

  7-(1) Where permanent total incapacity results from injury, the amount of compensation shall be a sum equal to fifty-four months' earnings.
  Provided that in no case shall the amount of compensation in respect of permanent total incapacity be greater than one hundred and eight thousand shillings but not less than two thousand shillings.

  Maana yake ni nini?
   
 2. m

  mwimbule JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 485
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Ipo sahihi kwamba huwezi kulipwa zaidi ya 108,000/= au mshahara wa miezi 54 kama ni chini ya amount hiyo.Please hiyo nisheria ya zamani sana miaka ya 40,s hiyo amount ilikuwa ni nyingi sana ila tumefanya uzembe kama taifa na lawama kubwa iende kwa vyama vya wafanyakazi na AG ofice. Ingawa kuna sheria mpya ambayo badio haijaanza kufanya kazi.
   
 3. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli inasikitisha sana kuona watu wanapoteza viungo na kulipwa mafao kidogo kiasi hicho!tunajua fika thamani ya fedha yetu inavyoporomoka kila kukicha, sijui kwanini hizi figures bado zinasimama kama zilivyokuwa zaidi ya miaka 30 iliyopita.Nafikiri kwa kupitia OSHA kama mamlaka husika mambo yatabadilika.
   
 4. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kuna sheria mpya ya 2008,ipo mbioni kumalizika,nadhan itaondoa io! Ila kwa sasa inabid tu ukubaliane na hali halisi..
   
Loading...