The White House Family

Ndani ya nyumba Barak ndio mwanaume peke yake. Ok, labda na mbwa mmoja.
 
Hivi hawa mabinti mbona huwa wanapenda kuvaa sketi fupi?
 
Hivi hawa mabinti mbona huwa wanapenda kuvaa sketi fupi?

Bob; Hivi weye ulichokimbilia ni kuangalia mapaja? Baba yao hajawaambia kuwa hiyo nguo ni fupi watajuaje?? Miguu ka inaruhusu waache wavae. Miye nimewapenda bure tuu
 
Huyu MALIA atampita urefu mama yake muda si mrefu
 
Huyo Malia anavyofanana na mama yake I wish na mimi nipate bint wa kufanana na mimi.Raha sana.
 
kwa sababu wanapenda

Bob; Hivi weye ulichokimbilia ni kuangalia mapaja? Baba yao hajawaambia kuwa hiyo nguo ni fupi watajuaje?? Miguu ka inaruhusu waache wavae. Miye nimewapenda bure tuu

Wakuu sijaandika kwa ubaya, ila kwa heshima ya white house ingebidi angalau wajisitiri na nguo ndefu hata ifike magotini. Ni mtazamo tu si lazima tuwe na mawazo sawa.
 
Wakuu sijaandika kwa ubaya, ila kwa heshima ya white house ingebidi angalau wajisitiri na nguo ndefu hata ifike magotini. Ni mtazamo tu si lazima tuwe na mawazo sawa.

Ok sio lazima tuwe na mawazo sawa, kwa mtazamo wangu mimi kwa vile white house haiko Pemba, mi naona hizo nguo poa tu.
 
Wakuu sijaandika kwa ubaya, ila kwa heshima ya white house ingebidi angalau wajisitiri na nguo ndefu hata ifike magotini. Ni mtazamo tu si lazima tuwe na mawazo sawa.
Niliwahi kumuuliza mwanamke wa kithungu sababu ya kupenda kuvaa nguo fupi yaani mapaja nje, akanijibu huku akitabasamu, "Mavazi haya yanatufanya tunakuwa wepesi hata tunapotembea hatuchoki haraka"

Majibu yale yalinifanya nikacheka saaana, kisha nikamwambia huku bado nacheka "ipo siku utavua na ch,,,pi utasingizia inakutia uzito. na yeye akacheka saaana.
 
Huyo wa kulia kama vile hana meno.
 
Tunataka na ya Mswati hapa, sio mila za huko Ulaya na marekeni wanawabania wakunga ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…