Watamtoa tu....lakini walibya tayari wanaelewa maana ya Vita.
Walipopata amani yao, kula yao na raha zao hawakujua "hell" imekaaje!
Gaddaffi cant last long either!
West na US walipata opening ya kumtoa na hawataiwacha nafasi hiyo, walikuwa wakimtafuta siku nyingi tu na sasa wamepata pa kumbamiza.
"The senior official has stated that the US view the Libyan rebels as poorly equipped and incapable of prevailing without decisive Western intervention......"
America hawatafanikiwa kumtoa Gaddafi kwa sababu njia na sababu wanazotoa hazijitoshelezi kuungwa mkono na watu pamoja na viongozi wa bara la afrika.Labda watafute sababu nyingine kahalalasha uovu wao.