Suala la Chris Brown mashabiki zake wote inabidi wajue, Chris wa sasa siyo yule wa zamani. Chris alipoteza mashabiki zake wengi kwa skendo zake za kupiga wanawake. Pia aina ya muziki anaofanya Chris Brown sasa hivi unamtenga na mashabiki wengi wasiopenda nyimbo zenye mashairi ya watu wazima (Explicit Content) tofauti na Justin Bieber ambaye nyimbo zake nyingi ni muziki unaoweza kusikilizwa na rika tofauti; Ngoma kama Intentions, Changes.umemaliza...Kuna jamaa nlkuwa namuelewesha anabisha kinoma
Unamfahamu Billie eilish?the weeknd huyu ni hatari,ila kuna dogo anaitwa khalid nae anakuja juu sana
Unayajua masualakibongo bongo wasanii wanaokubalika ni wale waliohit enzi za 2006-2015
hicho kpindi ndo utandawazi ulikomaa Tz
kwahyo usishangae watu wakasema
1.Justin>Ed sheran>The weeknd
2.Rihana>Adelle>Ariana grande
3.Lil wayne>JayZ>Kendrick lamar>JCole
4.Chris brown>Drake>Bruno Mars>Zayn
5.Future>young thug>post malone>Tekashis69
ila ukweli ni vice versa
watu wanawapenda wasanii walioanza kusikika bongo ilihali hata huko US hawahiti tena saivi
waliofulia ni hawa ambao wakija bongo bado tunawachukulia wakubwa
*rickross
*Lil wayne
*Justin bieber
*Fat Joe
*Omarion
*50 cent
*Neyo
*and yes Rihanna
*JayZ
*Beyonce
*T pain
*TI
*Tyga
*Alicia keys
etc. etc.
hao hata wakitoa ngoma saivi haiwi hit(except riri na jB kwasababu fanbase yao bado inawasapoti)
kuna wanaohit saivi wakija bongo hawajulikani
*The weeknd
*Roddy rich
*Zayn
*Ariana grande
*Dababy
*Lil baby
*Tekashi69
*Meghan thee stalion
*Taylor swift
*21 Savage
*Cardi B
*etc. etc.
Hao wakija bongo wanaweza kuzidiwa na Zuchu kujaza show ila ni wakubw kuliko ile list ya kwanza.
kujibu swali lako kwasasa Theweeknd ni mkali kuliko Jb...Uzuri wote wametoa albam mwaka huu na ni wazi album ya weeknd imefanya vizuri ×10 ya Justn bieber.
For now weeknd ni mkali
although personally namkubali JB kwasababu niliyoitaja juu(2008-2015)
kibongo bongo wasanii wanaokubalika ni wale waliohit enzi za 2006-2015

Unafuatilia muziki.Suala la Chris Brown mashabiki zake wote inabidi wajue, Chris wa sasa siyo yule wa zamani. Chris alipoteza mashabiki zake wengi kwa skendo zake za kupiga wanawake. Pia aina ya muziki anaofanya Chris Brown sasa hivi unamtenga na mashabiki wengi wasiopenda nyimbo zenye mashairi ya watu wazima (Explicit Content) tofauti na Justin Bieber ambaye nyimbo zake nyingi ni muziki unaoweza kusikilizwa na rika tofauti; Ngoma kama Intentions, Changes.
Chris Brown katoa nyimbo kama hizo zamani sana zikiwemo; Die Young, Beautiful People.
Sasa kama mashabiki tunapaswa kufuata muziki mzuri na siyo muziki unaotamba. Sasa hivi kuna wimbi kubwa la mumble rappers ambao nyimbo zao wanaimba kuhusu pesa, wanawake na matusi kibao ndiyo wana-hit ila hakuna cha maana wanaimba ila ukitaka muziki mzuri upo ila haupati nafasi kubwa kutokana na soko la muziki kubadilika.