The Weekend that Lasts ......

Aahahahahahaaa kiasali ujue watoto wameshaamka saahizi watatusikia tunavyorina asali na unajua utamu wa asali ulivyo wakati wa kurina hata uking'atwa na nyuki husikii maumivu kabisaa.
Ahahahhaaaaaaaaaaa....

Kung'atwa na nyuki kitu gani kiasali! utamu wa asali ukikolea hata niking'atwa na nyuki sishituki inakuwa sawasawa na nyuki wa mashineni tu
 
Kwema kabisa Mkuu, heshima yako. Chama langu mwaka huu safu ya mashambulizi tuko vizuri sana lakini ulinzi na nyanda bado uchochoro namba ya nne inanukia au hata ya tatu ila kwa mbinde sana.

Dah! kwema ndugu yangu?
 
Ahahahhaaaaaaaaaaa....

Kung'atwa na nyuki kitu gani kiasali! utamu wa asali ukikolea hata niking'atwa na nyuki sishituki inakuwa sawasawa na nyuki wa mashineni tu

Aahahahhahahaaaa looh hatariii, basi jua likizama iwe tena....
 
Kwema kabisa Mkuu, heshima yako. Chama langu mwaka huu safu ya mashambulizi tuko vizuri sana lakini ulinzi na nyanda bado uchochoro namba ya nne inanukia au hata ya tatu ila kwa mbinde sana.
Naam but Luiz bora kuliko wale kina mustafi na yule giriki bado mbichi ligi wacha tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…