MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 849
I am sorry, but I see the points you built are very weak to support your conclusion...
Mwanafalsafa1,
Mkuu habari nzito umeiweka na wenye kukusikia watakusikia lakini wengi hawatakuelewa...sababu? jibu lake lipo ktk signature yako!
Mkandara,
Yes the it is the reflection of us as the people, however we have multiple segments of those who claim to be the people of the Republic.
Kule kwenye suala la Mtei na CCJ au makala yangu ya CCJ, nimebainisha wazi huu mgongano wa generation Tanzania na Mwanafalsafa kaueleza vizuri sana na hili ndilo tatizo la Tanzania katika kufany amaamuzi pamoja na mengine yote.
Leo hii mimi na wewe bado tunaonekana ni Watoto tukikutana na kina Sitta na Wazee wengine ambao walikuwa Viongozi tulipopata Uhuru. Wanatuona kuwa hatuna uwezo wa kufikiri, hatuwezi kufanya maamuzi magumu, au zaidi kwa kuwa sisi ni watoto wao basi ni wajibu wetu kunyamaa na kufuata kila wanachosema, kis ani mila na utamaduni huku wanasahau kuwa nasi tuna sauti na uwezo wa kuchangia kwa nguvu na maarifa maendeleo ya Taifa yetu kupitia nyanja mbali mbali na hata upeo wetu wa kufikiria una wigo mkubwa kuliko wao.
Ndio maana ninapong'ang'ania mambo ya Itikadi, ni pamojana kung'amua kuwa Wazee wetu ambao idadi yao kama wapiga kura inaongezeka kupungua, inabidi kuwapiku. Zaidi ya asilimia 85 ya Watanzania ni watu walio chini ya miaka 45, asilimia 70 ya kundi hili ni watu walio chini ya miaka 20 na ndio Taifa la kesho.
Hatuwezi kuendelea kujenga Taifa kwa sisi kudaiwa ushiriki wetu uwe wa nguvu za misuli kutokana na ujana na si upeo wa mawazo au kuwa na mtazamo tofauti na Wazee wetu.
Kwa kuwa kuna huu utamaduni wa kung'ang'ania kuwa Wazee wako sawa kila mara, ndiyo maana hata inapofika katika kupiuga kura, Watanzania wanaendeleza jadi ya kuogopa kutokukasirisha "Wakubwa" na hapa tafsiri ya wakubwa si ya ukubwa wa umri tena bali ni madaraka!
Mwanafalsafa,
Umeniwahi! Nimekuwa nikijiandikia kichwani mwangu mada kuhusiana na hili jambo la "seeking to enforce legacy or everlasting legacy" ambalo linawakabili wazee wetu kina Msekwa, Malecela, Mongela, Mwinyi, Sitta, Kingunge na wengine wengi ambao kila siku wanajaribu kung'ang'ania "uzee" na hadhi ya kimadaraka ili wajaribu kumalizia kazi waliyoianza mwaka 1961!
Enzi zile miaka ya 70-80, Msondo Ngoma walikuwa na wimbo uliokuwa ukitoa hamasa kwa vijana ukiwa na beti zinazosema "vijana tujitokeze, wazee wanang'atuka, inafaa kuwa enzi kwa kazi waliofanya". Lakini wazee tuliokuwa tunawaimbia nyimbo hizi walikuwa ni kina Mwakawago, Mtei, Nsekela, Mzindakaya, Shelukindo, Mwapachu, kina Thabit Kombo, Kawawa, Hassan Nasoro Moyo, Kahama, na wengine wengi ambao wako bungeni leo hii na wana zaidi ya miaka 60!
Kama miaka 30 iliyopita walishaonekana kuwa ni Wazee na si kina Eliufoo, Sarakikya, Hasnu Makame, Shaba, Barongo na wengine, iweje leo hii bado Mzee Malecela ni mbunge na si kijana pale Mtera?
So issue is trust and desire of our elders to reinforce their legacy and end up with a higher not (their assumption) while in reality they are sinking the ship!
very interesting.... kuna kazi nilianza kuiandika yenye sentiments hizi.. umenipa moyo kumalizia. Very interesting indeed.
Hii ni moja ya thread nzuri sana maana inatoa atleasst mwanga wa nini tunatakiwa kufanya. Ukweli ni kuwa ni lazima tuanze kuinject watu wenye mitazamo mipya ndani ya systems ambazo zinagroom future leaders.
Kwa bahati mbaya naona kama wazee bado wanaona ni wao tu wenye kujua hatima ya nchi yetu kwa maana hiyo wanaandaa watu na kuwalinda hata kama inawezekana wasiwe na msaada mkubwa mbele ya safari.
Lakini katika debate kama hizi mawazo mapya huja na yanaweza kabisa kutupa fursa ya kutazanma upya nini kifanyike
It's been an interesting five years since the election of Jakaya Kikwete in 2005 until now. We have seen a political enlightenment from a people who in these short five years have seen scandals of corruption, the fall of grace of a prime minister and just recently an emergence of a new political party. The question on the mind of many is what's next?
The current generation which make all these difficulties that we are facing bellongs to the rulling party CCM,CCM is not a merely thing,CCM is defined by people inside it,so when we are talking about eradicating the current generation,essentially we meant uprooting CCMFrom different threads on JF I have noticed one matter which seems to be the focus of many, the failure of CCM and what the right party is to take the mantle of government. I see people discussing ways in which they feel the opposition can take leadership and ways to remove CCM from power. Well no opposition party is at the moment capable of taking power and even if they did not much change will be seen. People just don't get it. The problem is not CCM, the problem is the generation which inherited the country from those during the struggle for independence. Yes it's not a political party failure its a generational failure. As a twenty year old I can say for my generation that our fathers have let us down.
It is because of the way they got into power(corruption) and their selfishness,nothing else,this is the straight answer.There maybe be many reasons as to why the current generation of leaders have acted the way they do. Maybe they think that the same strategies used during the Nyerere era will still work today. Maybe in there mind they had a destiny to fulfill but it seems that advancing Tanzania was never part of their destiny.
To add some point in this, the next rulling party should not be CCM,lets look for another alternativeMy fellow Tanzanians, the way forward, the answer to our questions is not whether the next party in power is CCM, Chadema or CCJ. The way forward is for the next generation to finally get its chance to solve the problems of an age they know most of. If Nyerere and his generation willingly gave up power to the new generation 25 years ago, why are our fathers not ready to do the same?