The US Debt Crisis...A $14.3 Trillion question!

The US Debt Crisis...A $14.3 Trillion question!

Mkuu, pamoja na kwamba ni mambo ya kiuchumi yanayoongelewa, lakini kinachogomba hapo kwa sasa ni siasa tu. Republican wanatamani sera zao ndo zifuatwe na rais kutoka Democrats, na Democrats wanasema haiwezekani.
Marekani haiwezi kufilisika kwa kwa serikali kunyimwa ruhusa ya kukopa. Vyama vyote vinajua kukitokea matatizo ya kuanguka kwa uchumi basi waliosababisha wataadhibiwa kwenye uchaguzi, kwa hiyo hakuna anayeweza kujitafutia adhabu.
Wamarekani wanajua wanachofanya, siyo sawa na bongo yetu.
 
hamjui maana ya kufilisika (bankrupt) ndio maana mnabisha marekani kufilisika! We nchi imekopa mpaka haikopesheki mnasema haijafilisika?

Au mnaona wanavyo tumia sana pesa kwenye vita kutafuta ukuu wa dunia mnadhani wana hela sanaaa?, ni sawa tu na ''kuweka heshima baa'' kwa pesa ya mkopo!

Nawaombea waendelee kufilisika labda vita itapungua duniani!,
 
National debt ya marekani iko cyclical toka enzi za Roosevelt. Kumbuka just 9 years ago kulikuwa na surplus. Sasa hivi congress imejaa politics sababu president is black. angekuwa caucasian hii issue ingekuwa solved kitambo. Ukumbuke plan walionayo Democrats kama ikifuatwa hilo deni linawezafutika in the next several years. Hilo dua lako naona ungemwombea mchina pia anayeifilisi Africa
 
Defaulting the debt is not bankruptcy. Ulipata wapi elimu yako?
Acha kubabaisha wewee, elimu hii hii ya chini ya mwembe inatosha kuelewa! defaulting the debt ya marekani inasababishwa na ''inabillity to pay'' ambayo ikitokea, ''any creditor may file a bankruptcy case'' mahakamani na mahakama ika-declare bankruptcy! Sasa kama ndani ya wiki 2 zijazo mahakama zitakua zimetoa uamuzi, hutaki kuelewa nini hapo?
 
Sibabaishi ndio ukweli wenyewe. All in all Defaulting is not Bankruptcy. Kaongeze darasa la monetary economy
 
National debt ya marekani iko cyclical toka enzi za Roosevelt. Kumbuka just 9 years ago kulikuwa na surplus. Sasa hivi congress imejaa politics sababu president is black. angekuwa caucasian hii issue ingekuwa solved kitambo. Ukumbuke plan walionayo Democrats kama ikifuatwa hilo deni linawezafutika in the next several years. Hilo dua lako naona ungemwombea mchina pia anayeifilisi Africa
Na wewe unataka kuficha udhaifu kwenye mbawa za ubaguzi wa rangi??!!, umekua ccm na udini (tanzania), sipendi kusikia maneno hayo ya hovyo! Matumizi yao makubwa kwenye vita isiyo ya muhimu kama ya Iraq ndio chanzo cha kufilisika, usishangae surplus kuisha within 9 yrs. Bush anahusika sana hapa!, dua langu ni kwa mwanzilisha vita, muuaji wa moja kwa moja! Simaanishi namkubali muuaji wa taratibu (anaefilisi africa)
 
darasa nililokupa linatosha!, nia yangu sio ubishi
Kudefault ni kushindwa kulipa,interest rates zitaongezeka,credit worthy ya treasury bonds itaenda chini,ila watu wengi hawatajali kwani bonds za marekani huwa zinagombaniwa sana na zina liquidity ya nguvu.
Kukopa kwa wamarekani sio kwamba wanafanya ziara na kwenda umangani kuomba hela.Huwa wana release bonds na watu au serikali au institutions zinanunua hoping that watapata faida baada ya muda fulani through interest,kwa hiyo wanaweza wakarelease let say 500bn$ wakafanya projects zao,wakapata faida,au wakatoza watu kodi halafu wakalipa...thats how they bailed out their banks.
Kwa hiyo kufilisika as such is misleading,hawataki Moody's walower creditworth yao,which most people wouldn't care anyways cause these mofos are still hot!!......so,haters please keep staying on the sidelines and let playas play!
 
National debt ya marekani iko cyclical toka enzi za Roosevelt. Kumbuka just 9 years ago kulikuwa na surplus. Sasa hivi congress imejaa politics sababu president is black. angekuwa caucasian hii issue ingekuwa solved kitambo. Ukumbuke plan walionayo Democrats kama ikifuatwa hilo deni linawezafutika in the next several years. Hilo dua lako naona ungemwombea mchina pia anayeifilisi Africa

Umezungumza vitu viwili tofauti debt na budget surplus. Kuwa na budget surplus haina maana kwamba huna debt. Hiyo unayozungumzia wewe ya miaka 9 ni budget surplus, lakini deni la Marekani lilikuwa linakuwa kutokana na interest rate ambayo wanalipa. Sasa hivi kuna budget deficit na nationa debt ambayo inakuwa monthly kwa wingi sana kutokana increases ktk expenditures na low revenue.
 
Kudefault ni kushindwa kulipa,interest rates zitaongezeka,credit worthy ya treasury bonds itaenda chini,ila watu wengi hawatajali kwani bonds za marekani huwa zinagombaniwa sana na zina liquidity ya nguvu.
Kukopa kwa wamarekani sio kwamba wanafanya ziara na kwenda umangani kuomba hela.Huwa wana release bonds na watu au serikali au institutions zinanunua hoping that watapata faida baada ya muda fulani through interest,kwa hiyo wanaweza wakarelease let say 500bn$ wakafanya projects zao,wakapata faida,au wakatoza watu kodi halafu wakalipa...thats how they bailed out their banks.
Kwa hiyo kufilisika as such is misleading,hawataki Moody's walower creditworth yao,which most people wouldn't care anyways cause these mofos are still hot!!......so,haters please keep staying on the sidelines and let playas play!

Tuacheni rhetoric na tuangalie uchumi ulivyo sasa hivi duniani na nafasi ya Marekani ktk dunia.
 
Rais wa Marekani, Barack Obama, ameitumia hotuba yake kupitia televesheni kulibinya bunge litanzuwe mzozo wa madeni ya nchi hiyo.
Marekani iko katika hatari ya kufilisika mnamo wiki moja kutoka sasa, ila ikiwa tu kiwango cha kukopa nchi hiyo kitazidishwa. Katika hotuba aliyoitoa kutokea Ikulu, rais huyu aliwalaumu wabunge wa chama cha Republican kwa kukosekana kufikiwa mwafaka, na akawahimiza Wamarekani washilikiane kuweko suluhu.

Source: DW

La kufilisika huo ni udaku........lakini tunakushukuru kwa kunukuu chanzo taarifa yako.
 
<font color="#ff0000">La kufilisika huo ni udaku........lakini tunakushukuru kwa kunukuu chanzo taarifa yako.</font>
<br />
<br />
www.devemanuel.com/us
www.businessinsider.com

Mkuu, ukipata muda pitia hizo site
 
Obama makes ststement:live ccn/bbc/cbn news
-delay does not solve the problem
-any solution must be biprtisan
-i urge democrat and republican to find common ground
-US risks loosing AAA credit rating
-Keep pressure on washington
-Time for politics is over
 
Juzi nilipandika hizi habari watu wakanicheka sana wakaita udaku! Labda hii wataikubali sababu umepost kwa lugha ya kiingereza
 
I just got his twitter saying to tell our Rep to support a bipartisan compromise to the debt crisis.

potus-statement-2.jpg
Click here to see the video.
 
Obama sasa hivi ni mdogo kama piritoni aisee

I won't agree with you, Obama is playing smart. These recists tea bargers think by making the economy worse Americans will vote out Obama 2012, they are dead wrong. Obama now has got all winning talking points for 2012. Believe me or not Obama is going to beat them harder than 2008 in 2012. He's a reasoble person, he has shown Americans that GOP can not govern, he shows Americans that he cares mostabout them than being re-elected. If GOP won't raise debt by Tuesday 9pm ET he's going to address the nation that he was forced to use the constitution to raise debt ceiling through 2012 while still persuing the debt reduction negotiation. The more GOP fanatics delays this the more power shift to Obama. Believe me when this happens Americans will be on his side.
 
House passes Boehner’s debt ceiling plan

With days before the Aug. 2nd deadline to raise the nation's $14.3 trillion debt ceiling, the House approved a proposal from House Speaker John Boehner. The final vote was 218 members--all Republicans--voting for the bill, with 210 against. Passage of the Boehner plan came a day after House leaders had originally intended to hold a vote on the measure--and after several days of intensive lobbying and arm twisting by Republican lawmakers.

House passes Boehner
 
Back
Top Bottom