Shida yako nini asa usaidiwe reb....20-30 years........mdada una maliza chuo,umeanza kazi na mawazo ya kujitegemea yanaanza..
...kuolewa inaweza kutokea lakini its none of your priorities.....
.....30-50 years,unataka kusettle down,ila ndio mwanzo wa menopause....
.......As a woman,dont you think nature is cruel?.....
....kama kuna dr Mwaka humu,au wengine,watupe mwangaza wa tiba ya hili jambo....
.....nataka niende sawa na speed ya mume wangu katika kunjunji...π
na hii muifute,pumbaffff
Kuwa na mshawasha wa kufanya mapenzi kwa mwanamke siyo silaha ya kumzuia mwanaume kuchepukashida yangu ni kujua kama kuna uwezekano kwa sisi wanawake kuwa na libido mpaka tukifikisha miaka 70!...kama wanaume,ili kuondoa habari ya maambukizi,kwa wanaume kujustfy michepuko
Lol! unataka tuwe sawa??? haiwezekani! nyie mnaanza mgegedo mapema kuliko sisi...so tuacheni tufidie....alafu mbona unafikiriaga impossibles??? mara serekali humu jf, mara mishahara sawa kwa watumishi wote, mara libido sawa kwa wote,....mwisho wa siku utakuja kusema na wanaume nao wabebe mimba,,,,subiri tu time will tell.....20-30 years........mdada una maliza chuo,umeanza kazi na mawazo ya kujitegemea yanaanza..
...kuolewa inaweza kutokea lakini its none of your priorities.....
.....30-50 years,unataka kusettle down,ila ndio mwanzo wa menopause....
.......As a woman,dont you think nature is cruel?.....
....kama kuna dr Mwaka humu,au wengine,watupe mwangaza wa tiba ya hili jambo....
.....nataka niende sawa na speed ya mume wangu katika kunjunji...π
na hii muifute,pumbaffff
Lol! unataka tuwe sawa??? haiwezekani! nyie mnaanza mgegedo mapema kuliko sisi...so tuacheni tufidie....alafu mbona unafikiriaga impossibles??? mara serekali humu jf, mara mishahara sawa kwa watumishi wote, mara libido sawa kwa wote,....mwisho wa siku utakuja kusema na wanaume nao wabebe mimba,,,,subiri tu time will tell.
Sina specification kwenye kufuatilia mada za member wa jf coz huwa nafuatilia mada nyingi za watu mbalimbali ila nina kumbukumbu nzuri ya kuzikumbuka almost zote.Kuhusu wewe kudili na impossibles, sina shida na hilo coz wagunduzi walidili na impossibles so keep it up.Mwisho hakuna sehemu nilipokutusi, then sijaona dawa humu jf labda majina ya dawa kule jf doctor.nafurahi,kuwa unafuatilia mada zangu,sio lazima kwenda na majorities some times napenda kuwaza impossibles...I find interesting...matusi ni sawa dawa imeingia hahaaaaaaaaaaaa
Sina specification kwenye kufuatilia mada za member wa jf coz huwa nafuatilia mada nyingi za watu mbalimbali ila nina kumbukumbu nzuri ya kuzikumbuka almost zote.Kuhusu wewe kudili na impossibles, sina shida na hilo coz wagunduzi walidili na impossibles so keep it up.Mwisho hakuna sehemu nilipokutusi, then sijaona dawa humu jf labda majina ya dawa kule jf doctor.