Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,468
[h=1]THE VISIBLE
FALLOUT HAS BEGUN. ILLUMINATI RATS FIGHT IN THE SACK. MUTUAL ASSURED
DESTRUCTION OF NEGATIVE SYNDICATES ESCALATE[/h]
[h=4][/h]
[h=3]Alcuin Bramerton[/h]
This is the source of the information, fourwinds10.net,that is the
article by that author No one is suggesting that you should believe
everything you read there. But pictures don't lie.
Hata Gadhafi walimfanyia hivyo.
mkubwa, post kama hizi jamaa hawa zomba, DULLAH MSAVIVOR, Mohamed Said, Ritz wanasepa hawashiriki kabisa
Hebu fafanua ili nifahamu unataka nijibu nini,post kama hizi,kama zipi?,hao hawatashiriki,kwa hiyo? Hao ni nani kwangu mimi,kwa nini unawataja? Posti ya kuandika Ghadhafi kulawitiwa,hiyo imefanywa na wanamapinduzi wa Libya,imetangazwa skynews. Maovu lazima yafichuliwe. Umesikia dogo anataka kufichua uovu wa Chadema leo. Uovu upo katika kila taasisi duniani. Upo uovu katika Chadema,katika CCM pia. Lakini tatizo CCM ni kudumaa kwa akili. Tatizo Chadema na CUF ni ujeuri mwimgi.
Hakuna habari mpya ambayo tunataka kumwambia mtu. Imebakia utekelezaji. Mtu anayekuja na habari mpya,ni lazima awe suspect. We know the enemy,now is the time to act.
yaani wakambaka akiwa hai na maiti yake vile vile?
Animals...
source please?
Sometimes Andrew nashindwa kukuelewe kuhusu hawa Rothschild wako. Fact ni kwamba Chriss aliuawa kwenye ambushi ya rocket huko bengazi. Sasa swala, la kwamba walimkamata, wakamteka, wakaenda kumlawiti, wakamrudisha, wakamchukua tena, wakamlawiti, wakamrudisha, alafu CIA and Special US comandos walikuwa wapi, walikuwa wanaangalia tu au? Okay, hiyo conspirancy theory yako ya Rothschild kuwa nayo makini sana...
Message yangu ni
yule Balozi alitekwa nyara[grabbed],na sio kurushiwa kombora kama
inavyosadikiwa,na ametendwa hayo mambo mabaya. Tunamshukuru aliyeleta
hizo habari. CNN wanaficha habari kama hizo halafu wanaleta a a false
sense of security..
Whether kama Rothschilds walihusika,that does not concern me.Habari
ninazoandika mimi kuhusu conspiracy theories ni zile zinazotolewa na
Hatonn. Na Hatonn anapoandika kitu anatoa ushahidi,ananukuu makala au
kitabu ambacho kinathibitisha maneno yake. Huyu mtu ametoa maoni yake
bila uthibisho.