The True Patriots Should Take a Stand and Walk!


Je hao watu wapo?and who are they?
 

Hili nalo neno. Thank for that Rev.
To my knowledge and understandings, everything is there because it has some purposes of being there. Hebu wewe fikiria, kama wote tutakuwa mikono kazi za macho zitafanywa na nani? Taifa linahitaji watu wenye constructive aideas in all Economical, Social and Policial aspects, ikumbukwe kwamba these constructive aidea may come from intrisic of extrinsic streams, and all the time they hold it importance of where are they coming from.

Kuna wakati tunahitaji au tunatamani watu walio nje ya stream husika waseme jambo, hopping that it will receive much attention than before or vice versa is true. Hivyo kutokana na hilo ndipo ninapolazimika kukubaliana kwa 100% na Rev. Kishoka katika kile alichokisema katika hii quote hapo up-stairs, kuna umuhimu wa kutokukaa kimya, no matter what is up, maana tuna nafasi yetu katika mabadiliko ya nchi hii even though that changes it may not come today but we still hope the day is comming and yet the change will be there.

Tatizo la watanzania tulio wengi ni hofu, kutokuwa tayari kukabiliana na mambo magumu au changamoto mbalimbali, hivyo tunabaki kutegemea sana spontaneous actions or reactions jambo ambalo linatuweka nyuma siku zote. Tukumbuke pia kuwa hakuna aliye mdogo katika haki, hivyo inferiority complexes zitaendelea kutuweka katika sehemu mbaya kila iitwapo leo.

Angalizo langu ni kwamba Patrioties lazima wasimame kama patrioties na watu wenye kusema lazima waseme tena bila woga ili kile tunachonuia kukitenda kipate kutendeka, na hili linawezekana kama kila mtu akijua ni nini wajibu wake katika kila jambo.
If I do not see a real development in my country, I will stand and say YES! we need a Change, even if that change we are calling upon is bitter to you today. Patrioties are there but they are HIGHLY IN NEED of us , you and me to stand in our part or rather to stand after them and that is what Rev. Kishoka noted and act to his part.
Come on Men let play our parties, the changes will definately be there.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…