Simple!! Get her Drunk..atasahau hayo yote na atafika kileleni
mh!...Simple!! Get her Drunk..atasahau hayo yote na atafika kileleni
------------------------------------------------------------
2. All her emotional needs in the relationship are not being met:
It's all to common for us men to overlook or not understand a woman's
needs in the relationship.
If she feels an emotional void toward you for whatever reason she will
be guarded and will not let her mind go, or surrender herself if
this is the case.
-----------------------------------------------------------
Have a Nice Day!
Utauwa baba,angalia baadae usimuite cha pombeYes, EVERY DAY...
Nakweli ndugu yangu, maana hawa wadudu hawachelewi kukubadilikia kama kinyonga vile. Na alafu kumpa mwenzio pombe ili alewe ndo akutimizie haja zako sidhani kama hapo kuna mapenzi tena zaidi ya kubakana kama jogoo na kuku.Utauwa baba,angalia baadae usimuite cha pombe
[COLOR=red said:Penny;[/COLOR]741263]Nakweli ndugu yangu, maana hawa wadudu hawachelewi kukubadilikia kama kinyonga vile. Na alafu kumpa mwenzio pombe ili alewe ndo akutimizie haja zako sidhani kama hapo kuna mapenzi tena zaidi ya kubakana kama jogoo na kuku.
Nipo dear, ni mihangaiko ya hapa na pale tuu dear wangu. Nilikuwa kwenye first tremester sasa naendelea vizuri namshukuru Mungu kwa yote nipo sasa kwenye second tremester.Penny dadangu mbona umepotea sana...karibu jamvini tena!
Nipo dear, ni mihangaiko ya hapa na pale tuu dear wangu. Nilikuwa kwenye first tremester sasa naendelea vizuri namshukuru Mungu kwa yote nipo sasa kwenye second tremester.
Asante sana dear.Hongera Penny na nakutakia kila la heri na mafanikio katika safari yako.
Nipo dear, ni mihangaiko ya hapa na pale tuu dear wangu. Nilikuwa kwenye first tremester sasa naendelea vizuri namshukuru Mungu kwa yote nipo sasa kwenye second tremester.
Mwe cunajua tena...asante sana mwaya.hongera my dear... kumbe ulijificha kufanya tumambo we ahahhaha. nakutakia kila jema katika hiyo safari.... be blessed!
mwe!!!
Shishi my dear, upo Shosty?
am I late to wish you a Happy New Year 2010?
Ahahaha Lizy nipo nashkuru..never too late. 2010 vipi nafurahi uliiwahi! kila la kheri katika mambo yako!