Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Wala usiwaze mkuu! time will come utatoboa tuNimepiga interview 2 pale utumishi
1. hii ilikua haina written, ilikua ndio interview ya kwanza kufanya baada ya kutoka chuo 2016, nimefika pale watu wanakula kidesa kama wako wanaenda kupiga pepa, nimeingia sikushindwa swali hata moja katika maswali 10 niliyoulizwa nilikua najua yote NIKAKOSA nafasi, sikuumia
2. utumishi tena, nilianzia written, Maswali yalikua JIWE mtumishi nikaondoka na 55 nikaingia oral, cha ajabu maswali 90% yalirudiwa ya interview nilofanya kati ya 10 nilikosa 2(siyajui kabisa) , NIKAKOSA, hii NILIUMIA SANA
nikarudi kitaa.
Pole na polen sanaJuzi nimepiga interview mahali nikajua nakula shavu mwanangu walioitwa kupewa ulaji watoto wa wakubwa tu nikajua hapa mjini bila "kamlete" hatutoboi
Kozi gani...?me apa ndo nshakata tamaa nimeaplyy nyingii alafu hamna at moja niliyoitwa interview
ata kua tu short listed
Usikate tamaa.me apa ndo nshakata tamaa nimeaplyy nyingii alafu hamna at moja niliyoitwa interview
ata kua tu short listed
Pambana mkuu. Hakuna kukata tamaa. Its not over, untill you are buried six feet under the earth!!Juzi nimepiga interview mahali nikajua nakula shavu mwanangu walioitwa kupewa ulaji watoto wa wakubwa tu nikajua hapa mjini bila "kamlete" hatutoboi
Usikate mkuu endelea kupambana. Matukio kama hayo yakupe nguvu na kukutia moyo wa kupambana zaidi na zaidi, sio kukukatisha tamaa.Nimepiga interview 2 pale utumishi
1. hii ilikua haina written, ilikua ndio interview ya kwanza kufanya baada ya kutoka chuo 2016, nimefika pale watu wanakula kidesa kama wako wanaenda kupiga pepa, nimeingia sikushindwa swali hata moja katika maswali 10 niliyoulizwa nilikua najua yote NIKAKOSA nafasi, sikuumia
2. utumishi tena, nilianzia written, Maswali yalikua JIWE mtumishi nikaondoka na 55 nikaingia oral, cha ajabu maswali 90% yalirudiwa ya interview nilofanya kati ya 10 nilikosa 2(siyajui kabisa) , NIKAKOSA, hii NILIUMIA SANA
nikarudi kitaa.
Nipo katika mradi fulani but nahisi huko southern ulipo ndio ndoto yangu ya siku nyingiUsikate tamaa.
Jitathmini. Hebu fanya review ya nguvu ya CV yako. Google 'how to write an eye catching CV'. Halafu jaribu kuifanyia mapinduzi CV yako kwa kufuata tips utakazozipata. Pia, mpe CV yako mtu mmoja wa karibu ambae labda ni HR au ana uzoefu mkubwa kwenye career yake na mwambie aingalie na akushauri aiweke vizuri na akushauri zaidi how to improve it.Pia, jitathmini jinsi unavyoandika barua zako za application za kazi. Google 'how to write eye catching application letter'. Ujue siku hizi elimu nyingi iko at the tip of our fingers, just a click or two clicks away!!
Pia, vijana wengi huwa wanakosea unakuta mtu ana CV moja kila kazi anayo apply anatuma tu hiyo hiyo!! That is very wrong, kila application unayotuma inabidi ui-tailor ur CV to suit the requirements za hiyo kazi unayoomba!! Ideally, uwe na soft copy ya 'back bone of ur CV, ambayo kila kazi unayotaka ku apply unai edit, na kuongezea nyama nyama kwa kadri za requirements, na job description ya hiyo kazi unayoomba!!
All the best mkuu, naamini ipo siku pia utafanikiwa!! sandraeli
Hahahahahahhahaha!!
hahaha... aiseeh ilikuwa hamna kujitetea maana kazi ilitakiwa niijue lugha vizuri saana na zaidi. alikuwa mmama bhana.... unajua kuna zile story zikikujia kichwani mwako unajicheka basi ndiyo hii.Hahahahahahhahaha!!
Pole mkuu, ila ungejibu, 'English is not my native language, i am still learning, and i am improving everyday!!
Sometimes majamaa yanayokua kwenye interview panels huwa yanazingua pia aisee!!!
Daby
Hahahhahahahahahahahahaha[emoji23] [emoji23]hahaha... aiseeh ilikuwa hamna kujitetea maana kazi ilitakiwa niijue lugha vizuri saana na zaidi. alikuwa mmama bhana.... unajua kuna zile story zikikujia kichwani mwako unajicheka basi ndiyo hii.
she not he.Pole. But stay positive.
At least he didn't tell you you are dumb.
shukran mkuu ntafuata ushauri wako mzuriUsikate tamaa.