Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,468
Contradictions in the biblekitabu changu cha dini hakina nadharia zilizopitwa na wakati wala contradiction labda weww ndo huelew
Chanzo cha uhai katika biblia kimeelezwa wazi kabisa baada ya adamu kuumbwa kwa udongo alipuliziwa pumzi na Mungu hapo ndo uhai ulipoingia
Nadharia ya aristotle na uumbaji wa binadamu wa kwanza kipi kilitangulia?
Unaamini au unacheza kamali?bora uamini yupo kuliko usiamini alafu ukamkuta.. unajiamini nini kui-challenge bible ambayo hata ma professors wanakubali yupo haupo sereous na hiki ni kithibitisho tosha plz KAOMBE SARA YA TOBA
bora uamini yupo kuliko usiamini alafu ukamkuta.. unajiamini nini kui-challenge bible ambayo hata ma professors wanakubali yupo haupo sereous na hiki ni kithibitisho tosha plz KAOMBE SARA YA TOBA
they are great thinkersHahaaa...kwani kama kuna maprofesa wanaoamini ndo nini?
Mmm,Kiranga..😎Kiranga said:Kuna ma profesa wanapanua matako wachezewe na wanaume wenzao, na wewe ukijiridhisha ma profesa wanapanua matako utapanua matako?
Nafikiri alikuwa anajaribu kuelezea hoja ya Pascal wager,huko mwisho ndio akachemshaHahaaa...kwani kama kuna maprofesa wanaoamini ndo nini?
Yah,hapo kachemshaMtu anakwambia anaamini kitu kwa sababu maprofesa wamesema.
Fair question.
Theism is not harmless.Nafikiri alikuwa anajaribu kuelezea hoja ya Pascal wager,huko mwisho ndio akachemsha
Anasema heri uamini kuwa Mungu yupo,kwasababu hutopata hasara yoyote
Akiwepo ni faida kwako maana utaiona pepo,na kama hayupo hutopata hasara pia
In the nutshell,theism is harmless.
Lakini usipoamini uwepo wake,kuna hasara moja
Kama Mungu hayupo kweli,basi upo salama,lakini kama yupo
Ni Jehanam
Nimeijibu hapo juu.Yah,hapo kachemsha
Ila unaionaje hoja ya Pascal wager?maana ndio ilikuwa point yake kubwa.
HahahaaKiranga said:Theism is not harmless.
Consider this. Mungu hayupo. Una mchungaji anakudanganya kwamba mungu yupo na hela zako toa sadaka kanisani badala ya kumlipia mwanao ada ya shule, mungu atakupatia kama anavyowapatia ndege wa mwituni ambao hawapandi wala kuvuna.
Unatoa hela zako sadaka. Mwanao anakosa kwenda shule. Anakosa elimu, anabaki kwenye umasikini.
Utasemaje theism is harmless hapo?
Na watu wengi masikini wanashikwa hivyo.
Nafikiri alikuwa anajaribu kuelezea hoja ya Pascal wager,huko mwisho ndio akachemsha
Anasema heri uamini kuwa Mungu yupo,kwasababu hutopata hasara yoyote
Akiwepo ni faida kwako maana utaiona pepo,na kama hayupo hutopata hasara pia
In the nutshell,theism is harmless.
Lakini usipoamini uwepo wake,kuna hasara moja
Kama Mungu hayupo kweli,basi upo salama,lakini kama yupo
Ni Jehanam
That is how it should be for everybody. God is the true creator of everything and everywhere. Therefore there is no where without his creation.M only worshiping to the One and only...the true creator of everything..the most beneficent the most merciful