Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Chochote unachokiona lazima kiwe na positive na negative,kwa maana kila kitu kina kinyume chake.Sitaki kukupa sababu nje ya vitabu vyenu.
Kwa maama mtasema si sababu za kweli.
Sababu za kitokuwepo mungu zipo katika vitabu vyenu.
Vitabu vinasema mungu wenu anajua yote, ana nguvu zote, ana upendo wote. Sawa?
Sasa basi, kama mungu ana ujuzi wote, ana upendo wote na ana uwezo wote, turudi nyuma alipokuwa anauumba ilimwengu.
Aliweza kuumba ulimwengu wa aina yoyote. Hakuna kikichomzuia.
Aliweza kuumba ulimwengu ambao manaya hayawezekani kufanyika. Yanawezekama mazuri tu.
Lakini hakuumba ulimwengu huo.
Kwa nini hakuumba ulimwengu huo na yeye alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Kazini kwangu softwareengineer akiwa na uwezo wa kutengeneza software isiyo crash, halafu akatengeneza software inayocrash, anafukuzwa kazi kwa uzembe.
Na huyu hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote tunamuwekea standards za chini zaidi ya software engineer?
Kwa nini mungu kaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Define evil.
And what causes natural evil?Evil is what is morally wrong, sinful, or wicked. Evil is the result of bad actions stemming from a bad character. Biblically, evil is anything that contradicts the holy nature of God (see Psalm 51:4). Evil behavior can be thought of as falling into two categories: evil committed against other people (murder, theft, adultery) and evil committed against God (unbelief, idolatry, blasphemy). From the disobedience in the Garden of Eden (Genesis 2:9) to the wickedness of Babylon the Great (Revelation 18:2), the Bible speaks of the existence of evil.
Unaweza kurudi nyuma katika muda? Uende 1982?Chochote unachokiona lazima kiwe na positive na negative,kwa maana kila kitu kina kinyume chake.
Huyo jamaa hajui alichoandika,Unaweza kurudi nyuma katika muda? Uende 1982?
Wewe acha ujuha kwa kudandia usiyo yajua. Nimekwambia katika materialistic world hakuna kitu kinaitwa " evil " na modern atheist wamestuka hawatumii hoja hiyo kwa kuwa wameelewa kwamba ukisema evil unakuwa una maana kwamba binadam anatjamani Fulani ambayo inaharifiwa na matendo uyaitayo "evil" atheist binadam hana thamani yoyote kwa kuwa ametokea kwa mchakato WA kiajali ajali.And what causes natural evil?
Does nature contradicts the holy nature of God?
And why would an all powerful, all loving and all knowing god create a universe that is contradicting his very essence in having evil?And what causes natural evil?
Does nature contradicts the holy nature of God?
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia wanakufa katika matetemeko ya ardhi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia hawawezi kufa katika matetemeko ya ardhi?Wewe acha ujuha kwa kudandia usiyo yajua. Nimekwambia katika materialistic world hakuna kitu kinaitwa " evil " na modern atheist wamestuka hawatumii hoja hiyo kwa kuwa wameelewa kwamba ukisema evil unakuwa una maana kwamba binadam anatjamani Fulani ambayo inaharifiwa na matendo uyaitayo "evil" atheist binadam hana thamani yoyote kwa kuwa ametokea kwa mchakato WA kiajali ajali.
Achana na mambo yasiyokuhusu. Kwa atheist maovu ni matokeo ya DNA zikitenda mambo yake na sio swala la uovu au wema.
Mnakaririshwa Tu.
Sababu nizitoe mara ngapi?Kiranga nimemanisha unajudge kuwa hizo sababu utazitoa nitazikataa kabla hata hujazitoa mdau.we ziweke hizo sababu kisha ndo nianze kuzichambua kinagaubaga hapa..ziwe nje ya vitabu vya kiimani nayoamini.twende kazi
Akili zako sijui unaziweka wapi unapoandika hapa. Nini maana ya kiumbe kuwa na Hatia au Kutokuwa na hatia.Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia wanakufa katika matetemeko ya ardhi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia hawawezi kufa katika matetemeko ya ardhi?
Huwezi kumtoa Kiranga kwenye kariri zakeHa ha ha Kiranga bwana ha ha unarudia kulekule kusema neno VITABU VYENU .mimi shida yangu useme sababu zako ambazo usifanye reference za "uongo wa vitabu vyetu ". Sijui umeelewa swali langu?? Yan kwa mfano nataka useme huamini kama yupo kwa kuwa "nimejaribu kumuomba nionane naye hakutokea".huo mfano ni kukusaidia ujibu swali langu.
god is presence of our innermost core of being thus god is our own presence and to prove this you have to underwent a method called meditation since you can use things which are more powerful than mind and matterNice article Bro!
I'm theist by the way,but I want to know more about your belief system.
Firstly,you've said that there is no One-God.
I,myself I find it hard to imagine the universe without intelligent maker
Just look for moment,beautiful order of our cosmos,how your brain function,and complexity of life
All those are merely an accident?
Science can explain origin of natural law that govern our universe?
secondly,you ignored the role of bible and the christianity,but yet you've accepted the Existence of jesus,why?
Nimekuambia chochote kina hasi na chanya,kwa maana ya chochote,sikukuambia k urudi nyuma.Kurudi nyuma sio chochote,ungejuwa chochote usingesema kurudi nyuma.Unaweza kurudi nyuma katika muda? Uende 1982?
Na ni kitu kinachokufanya wewe,kutaka Yeye Mungu asifanye hivyo,wakati unafanya unachotaka kufanya,bila kuingiliwa na Yeye,amekupa uhuru wa kufanya hivyo unavyofanya.Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia wanakufa katika matetemeko ya ardhi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia hawawezi kufa katika matetemeko ya ardhi?
Hujaelewa swali.Na ni kitu kinachokufanya wewe,kutaka Yeye Mungu asifanye hivyo,wakati unafanya unachotaka kufanya,bila kuingiliwa na Yeye,amekupa uhuru wa kufanya hivyo unavyofanya.