kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,316
- 3,683
Huku majirani wakingoja serikali iwafanyie, nafurahi kuripoti kwamba Kenya revolution imeanza.
Wave ambayo inatoa China na India kutoka umaskini imefika hapa Kenya. The 3rd wave.
It is not the government or FDI, but many local entrepreneurial individuals doing many small but great things, that will change the country.
Nafurahi kwamba innovators wa Kenya wameanza kwenda the extra mile, getting financing and building world-class facilities.
Ndio huyu mmoja anatengeneza speed governors, GPS trackers na fleet management hardware hapa hapa Nairobi. Bila msaada wa serikali.