walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,854
- 5,699
Dah mpaka nawaonea huruma jameni ningeweza ningewaoa single maza wote hili niwaondolee upweke ila ndo ivyo waache wapambane na hali yao🤣🤣🤣 na wataisoma namba sio kidogo maana sio kwa namna wanaandamwa kila saa saa single motherz this..single motherz that jaman[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app