The Real Truth Behind Linux Itakushangaza!

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
2,294
Reaction score
4,514
Mwaka 1991, mwanafunzi mmoja wa chuo cha Helsinki alichukizwa.

Si chukizo la kawaida. Or paper ngumu sjui au professor mbaya. Hii ilikuwa chukizo la kitu kilichomzuia kufanya anachotaka kufanya. Kila siku, aliketi mbele ya computer yake, akiwa na mawazo mengi kichwani, lakini mikono yake ilikuwa imefungwa na mfumo ambao haukumruhusu kufanya anachotaka.

Huyu mwamba aliitwa Linus Torvalds.

7YWZS4ERSPKFDYZPJIAZGQAEIQ.jpg

Kipindi hicho, computer nyingi zilitumia operating system inayoitwa Unix. Sasa kwa wale wasio technical, operating system ni kama roho ya computer yeyote (Android, iOS, Window). Ndiyo system inayofany keyboard yako ifanye kazi, screen yako ionyeshe picha, na programs zako zifunguke. Yan bila operating system, computer ni sanduku tu.

Unix ilikuwa nzuri kipindi hiko hata Sasa iOS wamecopy from Unix. Kwhy Ilikuwa ya kisomi. Ilikuwa inafundisha mambo mengi.

Lakini ilikuwa na tatizo moja kubwa sana.

Ilikuwa imefungwa. Meaning that huwezi kumodify au kusoma code zao.

Huwezi kuibadilisha. Huwezi kuirekebisha. Huwezi kuifanya yako. Unapewa tu kama unavyopewa, ukubali au uende. Kama kupewa gari nzuri lakini bonnet imefungwa kwa lock na key yake iko kwa mtu mwingine. Unaweza kuendesha, lakini usiangalie ndani. Usiguse engine.

Kwa Linus, mtu aliyependa kuelewa kila kitu mpaka ndani kabisa(deep learners), hii Unix kwake ni mateso ya kila siku.

Ndipo mwamba Sasa akaamua kufanya kitu ambacho watu wengi hawafikirii hata kufikiria.

Jamaa hakwenda kutafuta investor. Hakwenda kuomba msaada wa serikali. Hakuunda timu kubwa ya wataalam.

Linus akaamua kutengeneza operating system yake mwenyewe.

Yeye peke yake. Chumba kimoja. Computer moja. Huku akiwa na kaudadisi flan ambako hakawez kuzuiwa na chochote.

Inasemekana alianza kidogo kidogo, usiku baada ya usiku, Helsinki ikiwa baridi nje na yeye ndani akiandika code kama mtu anayejenga nyumba yake kwa mkono mmoja mmoja. Hakujua itaenda wapi.. Alijua tu kwamba alihitaji kitu ambacho kingemruhusu kufanya anachotaka bila kizuizi.

Baada ya miezi kadhaa ya kazi, alifanya kitu cha ujasiri.

Alipost online. Ujumbe wake ulikuwa mfupi, wa kawaida, bila kiburi kidogo hata:

"I'm doing a free operating system. It's just a hobby, won't be big and professional like GNU..."

Soma tena maneno hayo.

"Just a hobby. Won't be big."

Kama kawaida watu walianza kujibu. Programmers kutoka kona zote za dunia walianza kusoma code zake, kuchangia, kurekebisha, kuongezea. Yaan mtu kutoka Japan aliongeza kitu. Mtu kutoka India alirekebisha kitu. Mtu kutoka Brazil aliongeza kingine.

Watu hawa hawakujuana. Hawakupata mshahara. No contract ya kisheria. Hawakuwa na office. Walifanya kwa sababu moja tu(open source)

Leo hii, tunaishi katika dunia ambayo Linux iko kila mahali, hata bila kujua.

Unatumia simu yako ya Android asubuhi? Linux.

Google inafanya kazi? Linux.

Amazon inakufikishia vifurushi? Linux.

ATM unayotoa pesa benki? Linux.

Rockets za SpaceX zinapanda angani? Linux.

Hata satellites zinazozunguka dunia juu yako hivi sasa? Linux.

Itaendelea........
 
Mwaka 1991, mwanafunzi mmoja wa chuo cha Helsinki alichukizwa.

Si chukizo la kawaida. Or paper ngumu sjui au professor mbaya. Hii ilikuwa chukizo la kitu kilichomzuia kufanya anachotaka kufanya. Kila siku, aliketi mbele ya computer yake, akiwa na mawazo mengi kichwani, lakini mikono yake ilikuwa imefungwa na mfumo ambao haukumruhusu kufanya anachotaka.

Huyu mwamba aliitwa Linus Torvalds.

Kipindi hicho, computer nyingi zilitumia operating system inayoitwa Unix. Sasa kwa wale wasio technical, operating system ni kama roho ya computer yeyote (Android, iOS, Window). Ndiyo system inayofany keyboard yako ifanye kazi, screen yako ionyeshe picha, na programs zako zifunguke. Yan bila operating system, computer ni sanduku tu.

Unix ilikuwa nzuri kipindi hiko hata Sasa iOS wamecopy from Unix. Kwhy Ilikuwa ya kisomi. Ilikuwa inafundisha mambo mengi.

Lakini ilikuwa na tatizo moja kubwa sana.

Ilikuwa imefungwa.

Huwezi kuibadilisha. Huwezi kuirekebisha. Huwezi kuifanya yako. Unapewa tu kama unavyopewa, ukubali au uende. Kama kupewa gari nzuri lakini bonnet imefungwa kwa lock na key yake iko kwa mtu mwingine. Unaweza kuendesha, lakini usiangalie ndani. Usiguse engine.

Kwa Linus, mtu aliyependa kuelewa kila kitu mpaka ndani kabisa(deep learners), hii Unix kwake ni mateso ya kila siku.

Ndipo mwamba Sasa akaamua kufanya kitu ambacho watu wengi hawafikirii hata kufikiria.

Jamaa hakwenda kutafuta investor. Hakwenda kuomba msaada wa serikali. Hakuunda timu kubwa ya wataalam.

Linus akaamua kutengeneza operating system yake mwenyewe.

Yeye peke yake. Chumba kimoja. Computer moja. Huku akiwa na kaudadisi flan ambako hakawez kuzuiwa na chochote.

Inasemekana alianza kidogo kidogo, usiku baada ya usiku, Helsinki ikiwa baridi nje na yeye ndani akiandika code kama mtu anayejenga nyumba yake kwa mkono mmoja mmoja. Hakujua itaenda wapi.. Alijua tu kwamba alihitaji kitu ambacho kingemruhusu kufanya anachotaka bila kizuizi.

Baada ya miezi kadhaa ya kazi, alifanya kitu cha ujasiri.

Alipost online. Ujumbe wake ulikuwa mfupi, wa kawaida, bila kiburi kidogo hata:

"I'm doing a free operating system. It's just a hobby, won't be big and professional like GNU..."

Soma tena maneno hayo.

"Just a hobby. Won't be big."

Kama kawaida watu walianza kujibu. Programmers kutoka kona zote za dunia walianza kusoma code zake, kuchangia, kurekebisha, kuongezea. Yaan mtu kutoka Japan aliongeza kitu. Mtu kutoka India alirekebisha kitu. Mtu kutoka Brazil aliongeza kingine.

Watu hawa hawakujuana. Hawakupata mshahara. No contract ya kisheria. Hawakuwa na office. Walifanya kwa sababu moja tu(open source)

Leo hii, tunaishi katika dunia ambayo Linux iko kila mahali, hata bila kujua.

Unatumia simu yako ya Android asubuhi? Linux.

Google inafanya kazi? Linux.

Amazon inakufikishia vifurushi? Linux.

ATM unayotoa pesa benki? Linux.

Rockets za SpaceX zinapanda angani? Linux.

Hata satellites zinazozunguka dunia juu yako hivi sasa? Linux.

Itaendelea........
lini...?
 
Back
Top Bottom