The REAL buffalo soldier!

Njaa ilikuwa imemkamata sana au alikuwa hajawahi kukutana na shughuli ya Nyati. Maana Simba 1 anaweza kumuua Nyati anapokuwa pekeyake, kunapokuwa na kundi la Nyati lazima kuwe na Simba kuanzia 3 pamoja na Dume.
 
Njaa ilikuwa imemkamata sana au alikuwa hajawahi kukutana na shughuli ya Nyati. Maana Simba 1 anaweza kumuua Nyati anapokuwa pekeyake, kunapokuwa na kundi la Nyati lazima kuwe na Simba kuanzia 3 pamoja na Dume.
Simba akiwa na nyati uso kwa uso hachomoki may be wawe simba zaid ya mmja
 
Kuna mchambuzi mmoja wa kizungu yeye anaeleza sifa za wanyama kwenye documentary Fulani anasema, "Buffalo is the most dangerous animal in Africa" while Rhino is the simplest animal to hunt.
Ana sababu zake za msingi kusema hivyo na ukimsikiliza anakushawishi.
 
mfalme wa msitu amechezea kichapo kizito kutoka kwa mr nyati
 
Hapo hana hamu ya nyama tena anaomba uhai tu hapo
 
Aisee mpambano wa Nyati na Simba ni mkali sana..nilicheki clip youtube kati ya Simba na Nyati dume...Simba alianza mrukia Nyati kwa nyuma kwa tahadhari kubwa kutaka kumuangusha ila wakati anajisogeza ili amuangishe na kudaka shingo loh....Nyati alimpiga pembe moja na kumrusha hewani kabla hajatua akiwa hewani akaongezewa nyingine na kuanguka kama mtu alipigwa ngumi kali ya uso na kufikia mgongo.Simba hamu ya kula nyama iliisha na kukimbia pambano!😀
 
Yaani kisago alichopata hatakaa ajeasahau..wamezidi kuonea swala na nyumbu
 
You made me shed tears honestly! Wadanganika tunateseka kwa uoga wetu


DALA,
Lakini ipo siku kutazaliwa kidumeeeee. Si kila siku ni Ijumaaa. Waendelee kuwaminyaminya tu, sukari sasa 2500/=. Maisha hayo mazuri ni msamiati gani huo? Au kwa vile mnajichotea mtakavyo na hakuna wa kuwauliza? Roho huambukia
 
Huyo nyati lazma atakuwa na falsafa ya ''Hapa Kichapo tu''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…