Hili ni tatizo letu watanzania wapenda mageuzi. Tumepatwa na msongo wa mawazo kiasi cha kuzuia akili zetu zisifanye kazi!! Kwa hiyo ulitaka tuweke picha za kina Slaa, Zitto, Lipumba an Mbatia tu! Kisa kuonyesha tunataka mabadiliko? Huu ni wehu...
Kwa nini hutaki kuheshimu mawazo yangu...wewe unanijua? Yeye kusema akomwe haimaanishi tutaacha kumuongelea, kuweka picha au kusema chochote juu yake. Kaamua kuwa mwanasiasa, lazima atasemwa tu kwa namna yeyote ile. Grow up, I am not your age mate. Learn to respect each and every one here + their post and opinions.