The Power of Make Up

Ukikutana naye akiwa kavaa hayo mavipodozi huwezi kujua kuwa kababuka ngozi...

Sasa siku ushamuweka ndani mwenyewe...teh teh!!!
 
Yaani, Bora umjue kabla ya kutumia hizo makeup....
 
katika dhambi ya UONGO "makeup" itakua ya kwanza kuhukumiwa...
 
Toba weee wengine ndio tunaringia make up tukiamka visura vibayaa lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…