Oohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
Toa hongera mkali WAO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwifwa hadi kafungua uzi aaaah!Aiseeee
Aiseeee
Aiseeeee
Bado wewe tu na ney
Mkuu hongera nitatoa ila nimepatwa na mshtuko kidogo...Toa hongera mkali WAO
Jama yupo real mkuu [emoji23]....Mwifwa hadi kafungua uzi aaaah!
Jamaa kweli amedhamiriaa
Haya mambo mbona kawaidah mkuu hakuna sababu ya kushtuka, au nakoseaMkuu hongera nitatoa ila nimepatwa na mshtuko kidogo...
Hahah!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mambo ni hiviii