Dah, wakuu sikueza kuangalia hii game, maana kulikuwa na change of plans kidogo. Lakini nlikua nafuatilia scoreboard. Inaonekana Miami walirelax tena baada ya kuongoza hadi kwenda kwota ya 4. Haya makosa wanayoyafanya kwa mara ya 3 sasa kama sikosei, ndio yanayowapa nguvu Dallas maana wangekaza makalio tokea game 2 sasa hivi ngoma ilikuwa khalas. Nways tukutane game 5 mazee.