Nimemaliza kuandika tu jamaa wakapata penati hapo hapo, hawa waarabu sisi huwa tunajitahidi kuwanyosha Taifa lakini tukienda kwao ni aibu tupu.umeona enhee..

Dk 25 as far 1 - 1 azam
Half time score 1-1 bao la Waarabu ni kwa penalti fuatilia game hapa
dk 22 as far 1 - 1 azam