The novo coronavirus: Could it have been genetically engineered for the Chinese race as a bio-weapon?

Kwa nini hao wazungu pia wamepatwa na huo ugonjwa?
Mkuu sayansi ya kutengeneza a viral disease for a specific race ipo.Hiyo ni genetic engineering tu,you map you genome,you edit and insert.It is simple sayansi.Tokeni kwenye zama za zamani ambapo tuliaminishwa kwamba kila ugonjwa kaleta Mungu,that is not the case anymore.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usidanganye watu mkuu,it's so bad.Mimi naomba mtu yeyote anayetaka ukweli ambao alternative media pamoja na wewe hamuwezi kutoa kuhusu Novo Coronavirus,afuate link ifuatayo,atapata ukweli wote kuhusu nCOV-2019 including the latest developments regarding the true origins of the virus, sio uongo uliopikwa kwa makusudi ya kuficha ukweli kwa maslahi ya Marekani.

I strongly advice everybody to visit this link,it has all the information you need about nCOV-2019 which you won't be able to get in the alternative media as I have already said.
Jamani, anarejea tena "alternative media" (najua alternative media, nazisoma, lakini kwake are51 maana yake ni lugha mbadala kwa takataka tupu).
Haya, tovuti hii ya stateofthenation tena ni mahubiri matupu (ya kulaumu "new world order"), bila kurejea sayansi (isipokuwa vipande vya wikipedia vilivyokatwakatwa jinsi anavyopenda, akiamini wasomaji hawatasoma yote, maana mengine yanampinga!)
Haya kaka, nimetembelea link yako, niemona mahubiri ya takataka.
Nini tena?
Hujajibu swali langu kuhusu upumbavu wa Wachina (walio na sayansi bora lakini bado wanachungulia soko la Wanyama la Wuhan, badala ya maabara ya CIA)
Vipi sasa ???
 
Mm msimamo wangu Corona ni Man -made,
Na wahusika wakuu ni USA .
Moja ya ki2 unachotakiwa kujiuliza hakuna kisa kipya au kifo USA
Usidanganye watu mkuu,it's so bad.Mimi naomba mtu yeyote anayetaka ukweli ambao alternative media pamoja na wewe hamuwezi kutoa kuhusu Novo Coronavirus,afuate link ifuatayo,atapata ukweli wote kuhusu nCOV-2019 including the latest developments regarding the true origins of the virus, sio uongo uliopikwa kwa makusudi ya kuficha ukweli kwa maslahi ya Marekani.

I strongly advice everybody to visit this link,it has all the information you need about nCOV-2019 which you won't be able to get in the alternative media as I have already said.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua wachina wanajiamini wenyewe, !
China haiwezi kutoka hadharani ikatamka bila ushahidi kuwa Chanzo cha ugonjwa huu ni Mmarekani.
Ila si mjinga kabisa kutojua anapambana vita Marekani.
Hili halimfanyi kushindwa na kukata tamaa na kwenda kupiga magoti.
Ambacho nahisi wanatafsiri kama "utumwa" na" kuishiwa mawazo katika ulimwengu wa science na technology
Kwauzoefu wangu".
Na hisi hivi virus vina unique characters.
Ambazo si rahisi sana kupambana navyo.

Kwajinsi hali ilivyo inaonekana vilifumwa haswa na mfumaji alizingatia kuwa lazima mapambano ya kupambana na kirusi yatakuwa makubwa.
Ninaweza sema alitengeneza Kwa formula na code zinazoendana na za HIV , ndo mana hata dawa za HIV zinaonesha positive results sana
Hebu Kwasasa tufocus njia za kuuzuia uenezwaji tu.

Nahisi kinacho takiwa ni kuzuia direct contact yoyote.
Pili kuanza utamaduni mpya wakutoshirikia vi2 hata kama ni familia moja
Jamani, anarejea tena "alternative media" (najua alternative media, nazisoma, lakini kwake are51 maana yake ni lugha mbadala kwa takataka tupu).
Haya, tovuti hii ya stateofthenation tena ni mahubiri matupu (ya kulaumu "new world order"), bila kurejea sayansi (isipokuwa vipande vya wikipedia vilivyokatwakatwa jinsi anavyopenda, akiamini wasomaji hawatasoma yote, maana mengine yanampinga!)
Haya kaka, nimetembelea link yako, niemona mahubiri ya takataka.
Nini tena?
Hujajibu swali langu kuhusu upumbavu wa Wachina (walio na sayansi bora lakini bado wanachungulia soko la Wanyama la Wuhan, badala ya maabara ya CIA)
Vipi sasa ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani, anarejea tena "alternative media" (najua alternative media, nazisoma, lakini kwake are51 maana yake ni lugha mbadala kwa takataka tupu).
Haya, tovuti hii ya stateofthenation tena ni mahubiri matupu (ya kulaumu "new world order"), bila kurejea sayansi (isipokuwa vipande vya wikipedia vilivyokatwakatwa jinsi anavyopenda, akiamini wasomaji hawatasoma yote, maana mengine yanampinga!)
Haya kaka, nimetembelea link yako, niemona mahubiri ya takataka.
Nini tena?
Hujajibu swali langu kuhusu upumbavu wa Wachina (walio na sayansi bora lakini bado wanachungulia soko la Wanyama la Wuhan, badala ya maabara ya CIA)
Vipi sasa ???
Tovuti hiyo imesheheni wataalamu renowned kama Professor Boyle ambaye naye katoa ushahidi wake.I repeat,don't cheat people and don't waterdown truth kwa niaba ya Wamarekani,the truth is out there.Wewe ni nani hata uite researched information waliyotoa top world scientists takataka,mtu ambaye possibly kama ukiwa umesoma sana una ka-digree kamoja.Stop that nonsense.

Narudia tena mainstream media inaficha ukweli na badala yake inasambaza fake news.Kwenye link hiyo ndiyo tu mtu anapoweza kupata ukweli.

By the way follow the following link to see why these sadistic killer monsters called the virus coronavirus.

Jamani, anarejea tena "alternative media" (najua alternative media, nazisoma, lakini kwake are51 maana yake ni lugha mbadala kwa takataka tupu).
Haya, tovuti hii ya stateofthenation tena ni mahubiri matupu (ya kulaumu "new world order"), bila kurejea sayansi (isipokuwa vipande vya wikipedia vilivyokatwakatwa jinsi anavyopenda, akiamini wasomaji hawatasoma yote, maana mengine yanampinga!)
Haya kaka, nimetembelea link yako, niemona mahubiri ya takataka.
Nini tena?
Hujajibu swali langu kuhusu upumbavu wa Wachina (walio na sayansi bora lakini bado wanachungulia soko la Wanyama la Wuhan, badala ya maabara ya CIA)
Vipi sasa ???
Yaani huna hata aibu unaendelea kushabikia uongo uliotungwa ili kupotosha ukweli! Ni mjinga tu anayeweza kushabikia,kuamini na ku-propagate that nonsense.Muone haya jamani.Wachina wamekula nyama hizo miaka yote,why now.Upuuzi kabisa.
 
Ukweli gani usio na ushahidi hata mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuata link ifuatayo,utapata the latest information from renowned world scientists kama Professor Boyle and others about 2019-nCOV.Taarifa from this website huwezi kupata from the fake mainstream media,ambazo kwa nia ovu kabisa ya kuficha ukweli wanadanganya kwamba 2019-nCOV imetokana na kula nyama ya nyoka nk.nk.,which is utterly nonsense.Nashindwa kuelewa how seemingly sane people can believe this lunacy.

Yaani huna hata aibu unaendelea kushabikia uongo uliotungwa ili kupotosha ukweli! Ni mjinga tu anayeweza kushabikia,kuamini na ku-propagate that nonsense.Muone haya jamani.Wachina wamekula nyama hizo miaka yote,why now.Upuuzi kabisa.
Kumbe mtaalamu wetu bado hajaelewa virusi vinafanza kazi namna gani? Nani alidai maambukizi yametokea kwa njia ya KULA?? (hii umerudia sasa cjui mara ngapi) LETE USHUHUDA!!! (hutaleta, maana hamna)

Hapana. Nadharia tete inayofuatiliwa ni: virusi vya popo, vilivyohamia kwa wanyama witu wengine (hata hii kawaida kabisa, kuhama ka virusi baina wanyama) na kutoka hao kuhamia binadamu.
Si kwa kula.
Na hapa soko la wanyama wa Wuhan linachunguliwa maana pale walikuwa na wanyama wa aina nyingi, hadi kakakuona, ambako wengine wanaona asili ya kuruka binadamu.
Mabadiliko la ghafla (spontaneous mutations) hutokea mara kwa mara. Kwa virusi vya wanyama witu inahitaji bahati ya pekee kufikia hali inayoweza kudumu kwenye binadamu pamoja na kuwa karibu sana na binadamu.Hapo sababu inatokea mara cache.
Vivyo hivyo mafua kikuu ya 1957/58 yaliyoua mamiloni duniani; asili yake ilikuwa China, ilisababishwa na virusi vya "A/Singapore/1/57 (H2N2) " vilivyohama kutoka kuku. Na watu hula kuku tangu muda mrefu, kula si sababu.
Basi, hapa ulipewa dars kidogo.
Sema asante!
 
Nonsense?!Hivi ujinga Wamarekani wanaowafanyia wanadamu unaona hakuna haja ya alliance against them kweli ili kuwa contain!Basi una shida kubwa.Anyway Russia,China na Iran wameona hitaji hilo na wamesha-anza,other nations should join hands.
N ushahidi wa huo Ujinga wenyewe ndio unaotuletea kutoka kwenye hizo blogs? you are very naive
 
Sawa unataka tupate taarifa sahihi kutoka wapi,mainstream media ambako kuna fake news tupu?Real scientists wameamua kujiunga ili kutoa taarifa halisi kwa citizens of the world, kwa kuwa mainstream media taarifa hizo hazipatikani na inatetea idiots kama Marekani.This infomation can only be appreciated by the intelligent and reasonable,may be you are not among them.Ninyi makarai ya Wamarekani endeleeni kuwapigia upatu.
 
Hhahaa, intlligent kama wewe sio? nyie ndio mnakuwa brainwashed na propaganda hadi mnaenda kujilipua mabomu
 
Sawa unataka tupate taarifa sahihi kutoka wapi,mainstream media ambako kuna fake news tupu?Real scientists wameamua kujiunga ili kutoa taarifa halisi kwa citizens of the world, kwa kuwa mainstream media taarifa hizo hazipatikani na inatetea idiots kama Marekani.This infomation can only be appreciated by the intelligent and reasonable,may be you are not among them.Ninyi makarai ya Wamarekani endeleeni kuwapigia upatu.
Kwa bahati mbaya hujui tofauti kati ya mwanasayansi na gunia. Nimekudai mara kwa mara, hujamleta mwanasayansi hata mmoja!! Kinyume nimekuletea juu ushuhuda, si ya "mainstream media" , lakini matamko rasmi ya WHO na blogu ya kisayansi pamoja jarida la kisayansi.
Nahisi unashindwa kuyasoma, ila tu usijifanye hapa una habari yoyote ya sayansi.
 
Marekani ni watu wabaya sana
Screenshot_2020-03-14-20-31-58-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale mliokuwa mnakataa haya aibu kwenu. Marekani ndio chanzo cha mauaji yote.
Mm kwa ufahamu wangu hakuna cha wild life ama nn ts just American

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom