The new iMac Pro

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
475
Reaction score
253
Apple wamerelease the new iMac pro, its a beast. Lakini price tag yake ni
. Starting configuration at $4999. Na highest configuration at $13,848 bila tax.
 
Nimeona hapo ina storage ya 4Tb ssd...hatari kweli kweli
 
Nimeona hapo ina storage ya 4Tb ssd...hatari kweli kweli
4tb ya ssd ni hatari? mbona zipo nyingi tu zaidi ya hapo?

samsung ana 16TB single drive ambazo kwa computer moja unaweza weka hadi 720TB.

seagate nae ana 60TB single drive ambayo unaeka petabyte kadhaa kwenye single pc.
 
Hizo computer wanazimudu wafanya vitu ebtertainment kwa faida i.e Hollywood, Bollywood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…