The National Institute of Transport (NIT) - Special Thread

RJ45

JF-Expert Member
May 20, 2014
337
113
FROM THE OFFICE OF THE RECTOR

The National Institute of Transport (NIT) is a public higher learning institution located on west of Dar-es-Salaam City, along Mabibo Road in Ubungo Light Industrial area; just about one kilometer off the Morogoro Road. NIT was established in 1975 as training wing of the then National Transport Corporation (NTC). NIT was charged with the responsibility of strengthening human resource capabilities of transport operatives and middle level managers of subsidiary companies of NTC. These subsidiary companies were: National Bus Services Limited (KAMATA), Usafiri Dar-as-Salaam Limited (UDA), Regional Transport Companies (RETCOs) etc.
In 1982, it was realized that there was need to have an Institute that will cover all modes of transport. The Institute expanded its area of activities and responsibilities. As a result, NIT was re–established through NIT Act No. 24 of 1982 as an autonomous Higher Learning Institution under the then Ministry of Communications and Works. It came into operation on 1st July, 1983 through the Government Notice No. 91. Currently, the Institute is under the Ministry of Transport. With legal status and the Governing Council was given a mandate to govern and administer the Institute.
National Institute of Transport is the only such training Institute in Sub- Saharan excluding South Africa, mandated by the Government of United Republic of Tanzania to offer training in transport and communications
The Institute is fully accredited with the National Council for Technical Education (NACTE) to provide Competence Based Education and Training (CBET) programmes at the level of Certificate, Diploma and Degree (National Technical Awards -NTA level 4 to level 8). It is also accredited with the Chartered Institute of Logistics and Transport (CILT International) to teach and examine CILT programmes of International Introductory Certificates, International Certificates, Ordinary Diploma and Advanced Diploma in Logistics and Transport. In addition to that, the Institute collaborates with the Open University of Tanzania (OUT) and International Purchasing and Supply Chain Management Consult (IPSCMC) to offer MBA in Logistics and Transport Management and Postgraduate Diploma in Procurement and Supply Chain Management respectively.
The Institute offers programmes in Logistics and Transport Management, Freight Clearing and Forwarding, Procurement and Logistics Management, Automobile Engineering, Business Administration, Computing Information Communication Technology, Mechanical Engineering, Aviation Studies and Human Resources Management. NIT also is offering Post Graduate Diplomas in Air Transport Management, Logistics and Transport Management, Travel and Tourism, Shipping and Port Management, Procurement and Logistics Management, Rail Transport Management, Transport Economics, Road Transport Safety Management and Transport Engineering Management. NIT also offers short term programmes and provides Research, Consultancy and Community Services.
The Institute has highly skilled personnel both academic and administrative staff. It also has modern machines and equipments for teaching, research and consultancy services. The equipments like modern Vehicle Inspection machines which are only at NIT (Tanzania).

KUTOKA KWA MLETA UZI:

Wadau wa NIT, wadau wa elimu na wanafunzi kuanzia Basic Certificate, Certificate, Ordinary Diploma, Higher Diploma, Bachelor Degree, post graduate Degree na wale wa kozi fupi na wana Jamii Forums kwa ujumla karibuni tufahamishane na kupeana update kuhusu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)
Karibuni wote!
=================
Mods wa jukwaa hili kwa heshima na taadhima tunaomba huu uzi uwe sticky kwa ili iwe rahisi kurejea kwa manufaa ya wadau ya wadau wote wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

nawasilisha!
 
Kila chuo/shule wakianzisha thread na kuwaomba mods waufanye "sticky"... hapa patakuwa hapatoshi.

Nawatakieni kheri katika uzi wenu wazee wa transportation...
 
Kila chuo/shule wakianzisha thread na kuwaomba mods waufanye "sticky"... hapa patakuwa hapatoshi.

Nawatakieni kheri katika uzi wenu wazee wa transportation...

kwa hiyo mkuu unamaanisha unataka kuwashauri mods kwamba hata zile special thread za vyuo walizoziwekea sticky waziondoe?!
alieko juu usimngoje chini inabidi umfuate hukohuko juu mkuu!

asante kwa kututakia kila la heri kwenye uzi wetu!
 
Time table bado mbovu sanaaaa,mazingira ya kusomea ni mtihani mkubwaaa,management nayo bado mbovu sanaaa wanasbabisha chuo kionekane local kabisaaa.Mr mghanirwa mambien aendeshe chuo kisomi na aache kutumia utemi zaid kuendesha hicho chuo
 
changamoto NIT ni nyingi mkuu lakini hata hivyo zinaendelea kufanyiwa kazi hasa katika awamu hii ya uongozi ukiangalia ile ghorofa ikikamilika changamoto ya mazngira ya kusomea na ratiba itatatuliwa kwani venue ndo sabab ya watu kusoma kwa shift na ratba kutopangika kiufasaha. tunajionea hata mazngira ya nje vimbweta vimeongezwa na kuonekana kukidhi mahitaji ya wanafunzi.
 
Mbna hawatokei hawa wadau.............

[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Mkuu RJ45, ahsante kwa Uzi huu.

Jamani naombeni mawazo yenu. Hasa hasa kama kuna mdau humu yupo hapo NIT...

Nilikuwa selected hapo NIT, for bachelor degree. Nikatumiwa na admission offer, na zile zote online info wameshanitumia.

Lakini J'Tatu tarehe 28 Nov sikuenda kuripoti, yaani sijafanya registration mpaka leo hii Ijumaa.

Changamoto kubwa ni moja tu... nimekosa ada na sitaweza kumudu kujisomesha (private sponsorship). Sipo/sikuwa qualified ku-apply mkopo from Heslb.

As such, baada ya kukwama kabisa, nimefikia uamuzi kwamba niahirishe mwaka mmoja, then nijipange financially for next year intake.

Sasa ndugu zangu, natamani sana kui-maintain hiyo Admission Offer mpaka hiyo mwaka kesho. Is this possible? kwamba niende chuoni nikajisajiri na kuomba ku-postpone to next year. Dhumuni na tamanio langu kuu ni ku-imaintain hiyo Admission ili mwaka kesho niingie chuoni bila ku-apply upya tena TCU/NACTE.

Jamani hilo linawezekana? if YES, taratibu zipoje?

Kwa wadau mliopo hapo chuoni kabisa NIT, naombeni msaada wenu ndugu zangu... naombeni mniulizie kuhusu hilo hapo utawala. Mimi nipo nje ya Dar.

Natanguliza shukrani. Mungu awabariki.
 
karibu NIT mkuu!

nitangulie kukupa pole kwa mkwamo wa kiuchumi! kuhusu kuahirisha mwaka na kurudi inawezekana kabisa mkuu. unachotakiwa kufanya ni kulipa ada ya semister ya kwanza 800k ili usajiliwe baada ya hapo utamuona msajili atakupa taratibu zote ikiwemo kuandika barua ya kuomba kuahirisha mwaka na ukikamilisha taratibu zote nafasi yako ya kuja kuendelea mwakani itakuwa palepale lakini kabla hujafanya malipo yoyote ni vizur ukaja ukaonana na msajili physically kwa uhakika zaidi but ni wengi wamefanya hivyo na wakafanikiwa kuendelea na masomo.
 
Hivi vyeti NIT wanaanza kutoa mwezi gani? Nacte ilizuia ukiritiba wa kukalisha watu mwaka mzima wakisubiri vyeti, vyuo vingi wanatoa vyeti immediately after graduation, sa hawa cjui wana utaratibu gani, CBE mwezi mmoja baada ya matokeo kutoka wanatoa Transcript wenzetu NIT ndo kwanza kabisa,kuna ubovu wa management, hivi ni sababu IPI utoe vyeti baada ya mwaka?
 
Mkuu, ubarikiwe sana. Nimeelewa vyema. Ahsante
 
Binafsi niseme tu kwamba chuo hiki kuna baadhi ya mambo yanahitaji kurekebishwa
1. issue ya ratiba ya chuo hii imekuwa ni challenge kubwaa mnoo pamoja na kwamba sababu inayotolewa ni issue ya uhaba wa madarasa lakini njia nzuri ya kuondoa usumbufu hususani kwa wanafunzi wa Bachelor wanaopata mikopo ni vyema kuwatoa kwenye uytarartibu wa ratiba hiyo badala yake wanafunzi wanaosoma diploma na certificate wawe wanafuta utaratibu wa shift zilizopo sasa. Hii itasaidia kuondoa mkanyiko uliopo sasa hususani kati ya HESLB na NIT na fujo za hapa na pale zitakoma.

2. Issue ya vyeti na Graduation Kuna mdau mmoja amechangia kuhusu hii kitu nami pia ngoja nieleze vyema imekuwa too much mpaka sasa wa 2015/2016 hawajafanya graduation ceremony tofauti na vyuo vingine na hakuna taarifa zozote zinazotolewa kwanini wanachelewa kufanya graduation wonderful enough mtu amemaliza mwezi wa saba anakuja kufanya mahafari mwakani yaani mpaka ameshasahau. Pili issue ya transcript nadhani ni chuo kama cha pili kuchelewa kutoa hivyo vyeti itashindanisha vipi wahitimu wako na vyuo vingine wako wanahata transcript? kaeni chini mtatue challenge hii sio kila mwaka mnaifanyia kazi, huu ni uzembe fikirieni vyuo kama UDSM vina wanafunzi wengi kuliko hata NIT hamjawahi hata kwenda kuuliza wao wanafanyaje? au hata CBE mkawaulize wanafanyaje?.

3. Changamoto nyingine nayoiona hapo ni Resistance to change kwa wafanyakazii wa chuo na management kwa ujumla inafikia wakati wadau wanatoa maoni namna ya uendeshwaji wa chuo yanakuw ignored mpaka inapelekea chuo kuwa na changamoto kama hizo itabaki kuwa na majibu bado tunaendelea na mchakato hata kwa vitu vidogo kwa ufupi wafanyakazi wengi hawana moyo wa kupokea mabadiliko na ari pamoja na moyo wakujituma. Bodi ya chuo waliangalie hili kwa upana.

MWISHO
zipo chamoto nyingi ambazo sijazitaja lakini kwa ufupi ni hayo na chuo hiki ni kizuri na kinatoa kozi nzuri lakini mambo yanayosabisha kero kwa wanafunzi inabidi ya angaliwe upya, wito kwa mkuu wa chuo fanya hata ziara ya kutembelea madarasani kusikiliza kero za wanafunzi hata sample ya kozi chache kutoka kila idara, wakati mwingine watu wako wa chini wanaweza kukudanganya baadhi ya vitu
 
Graduation ya NIT ilikuwa lini?
Hivi vyeti NIT wanaanza kutoa mwezi gani? Nacte ilizuia ukiritiba wa kukalisha watu mwaka mzima wakisubiri vyeti, vyuo vingi wanatoa vyeti immediately after graduation, sa hawa cjui wana utaratibu gani, CBE mwezi mmoja baada ya matokeo kutoka wanatoa Transcript wenzetu NIT ndo kwanza kabisa,kuna ubovu wa management, hivi ni sababu IPI utoe vyeti baada ya mwaka?
 
Mkuu RJ45, ahsante kwa Uzi huu.

Jamani naombeni mawazo yenu. Hasa hasa kama kuna mdau humu yupo hapo NIT...

Nilikuwa selected hapo NIT, for bachelor degree. Nikatumiwa na admission offer, na zile zote online info wameshanitumia.

Lakini J'Tatu tarehe 28 Nov sikuenda kuripoti, yaani sijafanya registration mpaka leo hii Ijumaa.

Changamoto kubwa ni moja tu... nimekosa ada na sitaweza kumudu kujisomesha (private sponsorship). Sipo/sikuwa qualified ku-apply mkopo from Heslb.

As such, baada ya kukwama kabisa, nimefikia uamuzi kwamba niahirishe mwaka mmoja, then nijipange financially for next year intake.

Sasa ndugu zangu, natamani sana kui-maintain hiyo Admission Offer mpaka hiyo mwaka kesho. Is this possible? kwamba niende chuoni nikajisajiri na kuomba ku-postpone to next year. Dhumuni na tamanio langu kuu ni ku-imaintain hiyo Admission ili mwaka kesho niingie chuoni bila ku-apply upya tena TCU/NACTE.

Jamani hilo linawezekana? if YES, taratibu zipoje?

Kwa wadau mliopo hapo chuoni kabisa NIT, naombeni msaada wenu ndugu zangu... naombeni mniulizie kuhusu hilo hapo utawala. Mimi nipo nje ya Dar.

Natanguliza shukrani. Mungu awabariki.
Fika chuon ukienda kwa registrar ukamwona atakupa utaratibu wa kufuata na nafasi yako watakutunzia
 
Wanafanyaga graduation zao mwez wa kwanza,. Nakumbuka hata waliomaliza mwaka jana walifanya graduation january ya mwaka huu, tena tareh 23,.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom