Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Yumkini hukusoma angalau sura ya utangulizi ya hicho kitabu au hukuelewa iwapo umesoma.kuwa na ushawishi inategemeana na mazingira kwa wakati-mfani jamii/mtu mwenye njaa na shida ukimshawishi kitu fulani kipindi hicho ni lahisi kushawishika.
pia labda kuna gonjwa limetokea ktk jamii fulani likakosa tiba ya kisayasi ikatokea mtu akawaaminisha watu kuwa ukishiriki ktk imani fulani basi gonjwa lako litaondoka na ikawa hvyo basi mtu huyo atahesabika kama ana ushawishi mkubwa
Huyu Nyelele alikuwa na umaarufu gani? Atamzidi hata Nyerere wa kwetu?Nyelele hayumo? alileta ujamaa na kujitegemea[emoji6]
Kitendo cha kutembea mchana na chemli hakikua routine ban...kumbuka kua alifanya vile ili ku prove kubusu ukweli.Plato ni msomi wa kigiriki alikuwa anatembea na chemli mchana wa jua kali, huyo sio mroma Pilato aliyetoa hukumu ya Masiha.
Aaah!! Kashindwa madiba mweny Nobel sembuse huyo!Mwalim hayupo
Hivyo ni vgz vya MTU binfc hata we unawez fny hivyo!Hapana aisee Jesus Christ should be no 1
Weka yako!Hoja dhaifu sana hii
Huyu ni mwanafalsafa wa kigiriki before Christ yaan bcPlato huyo ni yule aliyetoa amri ya kumsulubu yesu kwa kuogopa Wayahudi?