Umesahau Final Destination. 1 mpaka 51.THE HOSTEL
2.SAW
4.WRONG TURN
Hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja
Ukiacha ile Wrong turn 6 kwani imeshatoka nyingine?1.THE HOSTEL
2.SAW
4.WRONG TURN
hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja
Nayo iyo kali sana.Umesahau Final Destination. 1 mpaka 5
Dah kweli kabisa hostel na wrong turn zunatisha + kusikitisha, ila Wrong Turn ni mwisho wa reli dah1.THE HOSTEL
2.SAW
4.WRONG TURN
hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja
Mkuu mpaka sasa sijaona movie ya kutisha aisee.dah kweli kabisa hostel na wrong turn zunatisha + kusikitisha, ila wrong turn ni mwisho wa reli dah
Binafsi najua bado haijatoka nyingine.Ukiacha ile Wrong turn 6 kwani imeshatoka nyingine?
Zinakuwa hazitishi sana kiasi cha kushindwa kulala usiku, ila ladha inakuja ni pale napoona watu kama familia wanaenda tours then wanaanza kuangamia kikatili.Mkuu mpaka sasa sijaona movie ya kutisha aisee
Nadhani bado mkuu. Kale kazee ni kama ka sterling yani. Mi huwa zinanipa raha naangalia mida ya saa sita nighti kukiwa hamna kelele, yaani nakuwa kama nipo kwenye movie ndani.Ukiacha ile Wrong turn 6 kwani imeshatoka nyingine?
Thrillers.1.THE HOSTEL
2.SAW
3.WRONG TURN
4.FINAL DESTINATION
5.SEPTEMBER 2012
6.GHOST SHIP
hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja
UNAZOZITAJA NIMESHAZIONA ILA HAZINIFANYI KUOGOFYA LABDA HIYO YA HILLS HAS AN EYEThrillers.
Horror movies ni zinazokufanya kuogofya kimawazo kutokana na mambo yanayotokea.
Hizi ziko kawaida sana.
Ukijaribu kuangalia filamu hizi ukiwa umetulia kimawazo na kama unajua muunganiko wa dunia halisi na ya roho lazima kuogofya.
Jaribu exorcist 1 - 3.
Omen
The Ring
Silent Hill
Hill have eyes (hii ni ya ki canibal sana kama nakumbuka vizuri)
Conjuring ni nzuri maana ina matukio halisia sawa na Haunting in Connecticut. Sasa hizi zingine za binadamu kuwachomachoma na kuwala wenzao sijui mantiki ya kutisha hapa iko wapi.
Jaribu kuwa mahala palipotulia na penye giza kidogo ili akili yako iwe katika filamu tu
Dah kweli kabisa hostel na wrong turn zunatisha + kusikitisha, ila wrong turn ni mwisho wa reli dah
Thrillers.
Horror movies ni zinazokufanya kuogofya kimawazo kutokana na mambo yanayotokea.
Hizi ziko kawaida sana.
Ukijaribu kuangalia filamu hizi ukiwa umetulia kimawazo na kama unajua muunganiko wa dunia halisi na ya roho lazima kuogofya.
Jaribu exorcist 1 - 3.
Omen
The Ring
Silent Hill
Hill have eyes (hii ni ya ki canibal sana kama nakumbuka vizuri)
Conjuring ni nzuri maana ina matukio halisia sawa na Haunting in Connecticut. Sasa hizi zingine za binadamu kuwachomachoma na kuwala wenzao sijui mantiki ya kutisha hapa iko wapi.
Jaribu kuwa mahala palipotulia na penye giza kidogo ili akili yako iwe katika filamu tu
Acha promo ulizoweka na chumvi eti the conjuring ni most horror movie ever. James Wan kawazuzua sana
Movie hii wacha tu niliipenda inavyoishia ni hutegemei hata kidogo. Naipa maksi zake.My best was DRAG ME TO HELL. Events occurred unexpected plus sound effect was good much appreciated in theater 0% blood 0%nudity 100% adrenaline surge
NO 3 ndo kiboko1.THE HOSTEL
2. SAW
3. WRONG TURN
4. FINAL DESTINATION
5. SEPTEMBER 2012
6. GHOST SHIP
Hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja