Report from Georgetown centre on education and the workforce examined salary and unemployment data relating to experienced college graduate degree holders. The following are the 10 useless graduates.
10. Human resource and personel development.
9. Criminal justice and fire protection.
8. Commercial art and graphic design.
7. Music.
6. Mass media.
5. Marketing and market research.
4. Chemical engineering.
3. Information systems.
2. Pharmacy pharmaceutical science and administration.
1. Language and drama education.
Kuna raia wanasimamia kucha kuhitaji link ya hii tafiti.
Nnajiuliza hapo juu nmeandika jina la kituo kilicho fanya utafiti, sasa mnashindwa kufuatilia wenyewe? Maana kama huamini inabidi ufuatilie na ukiona sio kweli unatoa hoja ya kupinga.
Ok nmewaletea link hii ingieni mtafute.
Cew.georgetown.edu/unemployment2013/media.
Hiyo pharmacy,pharmaceutical sciences & administration kwa hapa kwetu ni suala la muda tu!watahaha sana mitaani na vyeti kwani wanagraduate wengi sana na serikali haiwahitaji sana kwani hata wakiwa hospitali wanafanya kazi ambazo hata muuguzi anaweza kuzifanya ingawa wao hawawezi kufanya kazi yoyote zaidi ya kugawa dawa kwa mgonjwa!Mambo mengine ni mbwembe tu!Ila kuhusu Mass media inategemea sana competence yako!kama una kipaji na ubunifu utaipenda
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Je unajua maana ya phamacy?? Je wewe ni phamacist (maana usijekuta wewe sio mwanafamasia alagu unaandika ujuha hapa)?? Unaposema wana graduate wengi unamaana gani!!?
Wazungu wanamuita binadamu, wewe unamuita nani?
Report from Georgetown centre on education and the workforce examined salary and unemployment data relating to experienced college graduate degree holders. The following are the 10 useless graduates.
10. Human resource and personel development.
9. Criminal justice and fire protection.
8. Commercial art and graphic design.
7. Music.
6. Mass media.
5. Marketing and market research.
4. Chemical engineering.
3. Information systems.
2. Pharmacy pharmaceutical science and administration.
1. Language and drama education.
Kuna raia wanasimamia kucha kuhitaji link ya hii tafiti.
Nnajiuliza hapo juu nmeandika jina la kituo kilicho fanya utafiti, sasa mnashindwa kufuatilia wenyewe? Maana kama huamini inabidi ufuatilie na ukiona sio kweli unatoa hoja ya kupinga.
Ok nmewaletea link hii ingieni mtafute.
The 10 Most Useless Graduate Degrees | Business Insider.
IS ni chaka kwa sasa
Copy and paste!!! Siku nyingine ukiwa unakopi uangaliage...sio kila kitu ni applicable hasa Tanzania!!
otea..ukishindwa kuotea jipe jina mwenyewe jiite a.k.a "punguani".
Report from Georgetown centre on education and the workforce examined salary and unemployment data relating to experienced college graduate degree holders. The following are the 10 useless graduates.
10. Human resource and personel development.
9. Criminal justice and fire protection.
8. Commercial art and graphic design.
7. Music.
6. Mass media.
5. Marketing and market research.
4. Chemical engineering.
3. Information systems.
2. Pharmacy pharmaceutical science and administration.
1. Language and drama education.
Kuna raia wanasimamia kucha kuhitaji link ya hii tafiti.
Nnajiuliza hapo juu nmeandika jina la kituo kilicho fanya utafiti, sasa mnashindwa kufuatilia wenyewe? Maana kama huamini inabidi ufuatilie na ukiona sio kweli unatoa hoja ya kupinga.
Ok nmewaletea link hii ingieni mtafute.
http://www.businessinsider.com.au/the-10-most-useless-graduate-degrees-2013-9.
Hahahaaa, unapewa mwanga mkuu, maisha sikuhizi sio Tanzania peke yake, nadhani unatambua maana ya neno hili "GLOBALIZATION"
I expect you to discuss the issue, if you consider only Tanzania its Ok, maana hapa kwetu tunahitaji wataalam, wataalam wachache na wataalam waliopo hatuna pesa za kuwaajiri kwa sababu ya vipaumbele (tunathamini sana siasa kuliko kitu kingine)
Na pengine ndiyo wahusika wa, "The most 10 useless graduate". Teheteheteheteheeeee...fasihi inasema.. ukiona huelewi, haikuwa yako hiyo!
Huku kijijini kwetu hata nesi anaitwa dokta na anapewa heshima zote, sembuse ukionekana umevaa koti jeupe ndio kabisa hawajui hata tofauti kati ya Medical Assistant na Medical Doctor wala Doctor Bingwa.Hoja zangu zilikuwa zina support kilicholetwa na mleta uzi.Kama una hoja za kupinga nilichoandika haizifanyi hoja zangu kuwa za kijuha.Kifupi acha hasira hiyo ndiyo hali halisi.Unaweza kuniambia hawa mafamasia tunaowaona hospitali na kwenye maduka ya dawa wanafanya kazi gani zaidi ya kutoa dawa kama zilivyoandikwa na daktari?Je ni uongo kwamba Nesi hawezi kufanya kazi hiyo?Na je unajua kwamba huku vijijini kuna zahanati za serikali anatibu Nesi na kutoa dawa Nesi na maisha yanaendelea?Je unadhani mfamasia akigoma kufanya kazi,hazitafanyika wakimsubiri yeye?Linganisha na fani nyingine upate majibu!mf mtalaamu wa maabara akigoma unadhani Nesi atafanya hiyo kazi?Kama madaktari mf Misungwi mkurugenzi anasema ameletewa wengi hawezi kuwalipa,unadhani kwa fani ya pharmacy nani ataihitaji na manesi wapo kibao?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hoja zangu zilikuwa zina support kilicholetwa na mleta uzi.Kama una hoja za kupinga nilichoandika haizifanyi hoja zangu kuwa za kijuha.Kifupi acha hasira hiyo ndiyo hali halisi.Unaweza kuniambia hawa mafamasia tunaowaona hospitali na kwenye maduka ya dawa wanafanya kazi gani zaidi ya kutoa dawa kama zilivyoandikwa na daktari?Je ni uongo kwamba Nesi hawezi kufanya kazi hiyo?Na je unajua kwamba huku vijijini kuna zahanati za serikali anatibu Nesi na kutoa dawa Nesi na maisha yanaendelea?Je unadhani mfamasia akigoma kufanya kazi,hazitafanyika wakimsubiri yeye?Linganisha na fani nyingine upate majibu!mf mtalaamu wa maabara akigoma unadhani Nesi atafanya hiyo kazi?Kama madaktari mf Misungwi mkurugenzi anasema ameletewa wengi hawezi kuwalipa,unadhani kwa fani ya pharmacy nani ataihitaji na manesi wapo kibao?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Huku kijijini kwetu hata nesi anaitwa dokta na anapewa heshima zote, sembuse ukionekana umevaa koti jeupe ndio kabisa hawajui hata tofauti kati ya Medical Assistant na Medical Doctor wala Doctor Bingwa.
Mkuu sio huko tu hata huku ofisini wengi tumezoea kila PS (Personal Secretary) lazima awe mwanadada/mwanamama tena mrembo. Wakati siku hizi wababa ma-PS wapo kibao.Mkuu nadhani pia exposure inasaidia ingawa pia dhana .mbalimbali huchangia. Mfano
1. "mwanamke yeyote anayefanya kazi hospitalini ni nesi"
2. "mwanaume yeyote anayefanya kazi hospitalini ni daktari"
3. Kila anayevaa koti jeupe katika mazingira ya hospitali ni daktari"