RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,289
- 138,802
Hii mada ingekuwa kwenye lugha yetu ya taifa tungekuwa na pages 20 sasa hivi. Huyu mmarekani Paulo Sergio De Souz hajui kiswahili ndio maana hatuelewi tukimwambia anatuandikia kiingereza alitupeleka shule?!!Khaaaaaah!! RRONDO kuja unitafsirie na hivi nilivyochoka ndio naona kisukuma tu hapo.