The Minister is Sleeping

Hapa kwetu waziri anasinzia llkn akiulizwa anajibu kwa dharau kwamba alikuwa anatafakari
 
Huwa nalipenda sana bunge la RSA...lipo vizuri in democracy
 
Huwa nalipenda sana bunge la RSA...lipo vizuri in democracy
Kuna kipindi bunge letu (wabunge wa wananchi wakianza kazi) lilikuwa linakuwa ni zaidi ya mpira wa Simba na Yanga
Yaan kipindi kile ukileta hoja mfu umeenda na maji
Sasa hivi sijui nini kinaendelea sijalifuatilia
 
Wenzetu ndiyo maana wana maendeleo

Maendeleo yaliletwa na Kaburu, hao wakiachwa wenyewe ni zaidi ya Tanzania kwa ujinga... wewe huoni hayo mabunge makaburu yalivyo serious...hilo bunge hao weusi ndio huwa wanaliharibu kwa ubishi na mambo yasiyo na maana....watu wanapaswa kubishana kwenye critical issues..
 
STEVEN WASILA alishalala sana pale bungeni.
Niliwahi kumwanzishia thread hapa JF takriban miaka kumi iliyopita kujadilia tabia ya Waziri kulala akiwa bungeni. Iko hapa Wassira kwa ulalaji. Inatakiwa kuwa na wabunge kama huyo wa Afrika ya kusini walio macho kuwakumbusha mawaziri kuwa bungeni siyo bedroom yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…