The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep amesema ata quit kama klabu isipopunguza size ya squad.

Anasema inampa shida kisaikolojia kuacha baadhi ya wachezaji wazuri nje.
 
Kinahitajika kikosi kidogo chenye wachezaji versatile, wachezaji kama bernado, gvardiol, marmoush, O'Reilly n.k

Ndicho anachotaka pep.
 
Kovacic ana majeraha ya mfupa wa kisigino ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa siku za hivi karibuni.

Akiamua kufanyiwa upasuaji basi itamchukua miezi miwili mpaka mitatu ku recover, kumaanisha atakosa michuano ya kombe la dunia la vilabu.
 
Spurs wakaze mbupu kama Crystal Palace walivyotukazia sisi.
 
Postecoglou anasema yeye huwa anashinda mataji msimu wapili.
 
Nyumbu alikuwa na kamdomo sana hatupo top 6 ila tunaenda uefa kiko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…