Kuna sheria inawekwa msimu ujao ya nahodha wa timu pekee ndiye atakayeruhusiwa kuwa na mazungumzo ya moja kwa moja na referee ili kuepusha refa kuzongwa na wachezaji yanapotokea matukio ya utata.
Point per game ratio ya Ruben Amorim ni mbovu kuliko Point per game ratio ya Paul Jewell, aliyekuwa kocha wa timu mbovu zaidi kwenye historia ya EPL, derby county ya mwaka 2007-08.