The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Walitumia vigezo gani kuchagua hizo team? City na Chelsea ndio naziona. Nyumbu, vijogoo washika vipistol siwaoni.
Timu zilizochukua ubingwa wa shirikisho husika (UEFA, CAF, Libertadores) ndani ya miaka minne (2020-2024), pamoja na zile rankings.
 
FIFA Club World Cup | Group G

  • Al Ain
  • Juventus
  • Manchester City
  • Wydad Casablanca
 
Manchester City | FIFA Club World Cup Fixtures | Group stage

18th June
Manchester City vs Wydad Casablanca
(Philadelphia)

22nd June
Manchester City vs Al Ain
(Atlanta)

26th June
Manchester City vs Juventus
(Orlando)
 
Manchester City | FIFA Club World Cup Fixtures | Group stage

18th June
Manchester City vs Wydad Casablanca
(Philadelphia)

22nd June
Manchester City vs Al Ain
(Atlanta)

26th June
Manchester City vs Juventus
(Orlando)
Tunaongoza hili kundi
 
Wesley Franca ameikubali project ya City, mazungumzo bado yanaendelea na tunatarajia kupeleka ofa ya €35m, japo Flamengo wanataka €40m.
 
Waliopo kwenye radar za City
Reijnders
Dani Olmo
Florian Wirtz
Rodrygo Goes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…