The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Toka mwanzo nilisema anapigwa Goli NNE ...

GD na Arsenal zimebaki 2😂
 
KWANZA MMESIKIA MBAPPE NDO ANATUA LOS BLANCOS HUKO

Kazi mnayo mkikutana na front 3 yetu vinny mbapp rodrygo
 
KWANZA MMESIKIA MBAPPE NDO ANATUA LOS BLANCOS HUKO

Kazi mnayo mkikutana na front 3 yetu vinny mbapp rodrygo
Mtafanya mbape apaki basi kama vini,jude na rodri wakati wakina foden wakiginga mali na kuenjoy football ,nyinyi kazi ya wachezaji wenu ni kukaa nyuma kwa uwoga maana ni mentality ya team ndogo.Uviziaji sio tabia ya team kubwa ,unapaswa kushinda kwa ushawishi
 
timu kubwa kama spurs inayofanya timu ndogo kama city ikae nyuma waki parkbus uongo

usiku wa deni ndo ushaingia leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…