The Lovely Obamas!!

mwanaume hazai. kuna mama mmoja youtube anamtuhumu. anasema jina lake huyo sio michelle ni Michael.
nasikia lakni sina uhakika.

Nimesoma bio ya michelle
Ni mwanamama very open angekuwa ana jinsia mbili angekuwa ameshaliweka kwenye kampen zao za obamas
Ila huko nyuma aliwahi kuwa na mahusiano na wanaume kadhaa mpaka kukutana na Obama

Wanaodai ni mwanaume labda ni kutokana na umbo lake ila pia wanafamilia yake wapi hivyo kama yeye


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…